Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umasikini upo kote kote hata US. Hii video tazama huyo dada anasema hadi diaper anaitumia mara mbili mbili yani akiitumia huku ikachafuka anaigeuza.Halafu wajingawajinga watakuambia mpinzsni wa chins ni USA hahaha
Umasikini upo kote kote hata US. Hii video tazama huyo dada anasema hadi diaper anaitumia mara mbili mbili yani akiitumia huku ikachafuka anaigeuza.
View: https://m.youtube.com/watch?v=5i45h76ioHY&pp=ygUVUG9vciBwZW9wbGUgaW4gdGhlIFVT
Hawa wanategemea watu wawape misaada ya chakula.
Ni nchi chache kama sana kama Bahrain ambapo ndipo hakuna umasikini wa hivi wa watu kukosa basic needs. With over a billion people ni ngumu sana masikini kukosa china compared to US ambaye ana population ya 200 milion + lakini bado pia ana masikini
200 milion + maana yake ni juu ya milion 200 so inaweza kuwa hata 300 kama ulivyosema.The US population is slightly over 330 million people so please be informed accordingly.
Kumbe USA hakuna masikini?Halafu wajingawajinga watakuambia mpinzsni wa chins ni USA hahaha
The difference is too huge. Kwa nini isiwe 300 milion+ basi ilete sense.200 milion + maana yake ni juu ya milion 200 so inaweza kuwa hata 300 kama ulivyosema.
As long as ni 200+ hata 300 imo tu. Sikuwa na speciric figure but the last time I checked years ago walikuwa around 250+ ndio maana nikatumia 200+The difference is too huge. Kwa nini isiwe 300 milion+ basi ilete sense.
Wewe ndie mjinga zaidi. Umeandika nini sasa ?Halafu wajingawajinga watakuambia mpinzsni wa chins ni USA hahaha
Umasikini upo kote kote hata
Ukomunist ni tofauti na ujamaa!?Ukomunisti na Ujamaa ni LAANA hapa duniani, nchi au tawala yoyote ile inayofuata sera hizi lazima watu wake wataishi maisha magumu na mabaya sana kama wapo Jehanamu.
Umasikini unazidiana kiwango.Tanzania ukiwa na gari basi wewe umetoboa maishaUmaskini upo kila sehemu ya dunia hii.
Kuna maisha watanzania wanaishi huwezi vumilia hata kwa dakika moja.
Kwa hiyo tufahamu hivyo.
Yeah nikweli kumbe mtu unaweza kuwa na gari ila bado unapigika ile mbaya.*Umasikini unazidiana kiwango.
Tanzania ukiwa na gari basi wewe umetoboa maisha*