Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Hawa mabeberu wanakata tawi walilolikalia kwa tamaa za u-superpower, ona sasa dunia inasambaratika tunakosa woteJe, Marekani imelipa hasara kutokana na majanga ya H1N1, UKIMWI na msukosuko wa fedha duniani?
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang amesema, Marekani inapaswa kufahamu kuwa adui wao ni virusi, sio China, kwani kama nchi nyingine, China pia ni mwathirika wa maambukizi ya virusi vya Corona.
Geng amesema hayo baada ya Rais Donald Trump wa Marekani jana kusema China inapaswa kuwajibika kwa ueneaji wa virusi hivyo.
Geng amesema virusi ni adui wa binadamu wote, na vinaweza kutokea wakati wowote na mahali popote, na China ni mwaathirika wa virusi hivyo. Ameongeza kuwa, hakuna aliyeiwajibisha Marekani kwa majanga yaliyoanzia nchini humo kama mafua ya H1N1 yaliyotokea nchini Marekani mwaka 2009 na kuenea katika nchi 214 duniani, na kusababisha vifo vya watu laki mbili, na pia mgogoro wa kifedha uliotokea mwaka 2008 nchini Marekani na kusababisha hasara kubwa ya kiuchumi duniani, aidha ugonjwa wa UKIMWI pia ulitokea kwanza nchini Marekani.
Geng amesisitiza tena kuwa, kwa mshikamano na ushirikiano tu, ndio jumuiya ya kimataifa itashinda virusi vya Corona, ameitaka Marekani kuacha kuipaka matope China, na kujishughulisha vizuri zaidi na juhudi za kukabiliana na virusi hivyo.
Hizo programme Za UKIMWI zimeanza lini? Dawa Za kufubaza virusi vya UKIMWI zimepatikana lini? Waliopata UKIMWI mwanzoni waliteseka sana miaka hiyo, hakuna fidia itakayoyosheleza madhila ambayo familia nyingi zimepitia kwa gonjwa la UKIMWI.
naamini dawa ya COVID-19 itapatikana mapema kuliko ya UKIMWI.
Halafu tunaambiwa tunapewa msaada wa dawa Za UKIMWI kwamba badala ya kusema wanalipa wanasema ni Masaada.
Watoto yatima hawa tunasomesha sie kwa kujinyima wewe unasema dawa Za kufubaza makali ya UKIMWI zinazotolewa kujikosha kwamba ndio malipo yetu ya kuletewa UKIMWI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni dalili kuwa umevalia chupi "made in china".It is up to Everyone. Stop buying anything that comes out of CHINA. Only people can boycott them by NOT buying their crap and putting pressure on companies that do by putting them out of business.
USA anapora kila mahali na kuchochea vita ili aibe rasilimali hasa madini, gesi asilia na mafuta. Na Afrika ndiye muathirika mkuu wa huu wizi na mauaji.Na ndo maana mwanzoni nilianza kwa Kusema "Atleast" Marekani inafanya Kitu Kufidia kosa Lao. Atleast. Unaona kabisa they are doing something kama kutoa pole for what they did.
Na ni msaada ndio, kwani mkuu US ingeamua kuignore kutotoa Hizo Arv Bure na elimu juu ya ukimwi waafrika wangefanya Nini? Tungejipanga tungeenda Kuwapiga? Tungeishia kulalamika tu. Kumbuka hizo ela ni kodi za wa wamarekani. Ni wameamua tu.
Nafuu ya marekaniMtatajana tu, nyie wote hakuna mwenye nafuu.
Time to start making in Britain England again.Hizi ni dalili kuwa umevalia chupi "made in china".
USA anapora kila mahali na kuchochea vita ili aibe rasilimali hasa madini, gesi asilia na mafuta. Na Afrika ndiye muathirika mkuu wa huu wizi na mauaji.
Tatizo la binadamu mweusi ni msahaulifu na mjinga.
Haya boss. Miaka 70 hivi iliyopita mlikuwa mnawindwa kama nyani huko porini mkalime mashamba ya mzungu. Mwafrika msahaulifu sana.Time to start making in Britain England again.