China, Marekani na Ulaya walitozana sana kufikia hapo. Maendeleo ni gharama, serikali isigeuke nyuma!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania.

Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi, sisi hatutaki kugharamikia vitu hivyo,hatutaki kugharamikia maendeleo.

Hii naifananisha na mtoto, hakuna mtoto anayeanza shule anakubali kirahisi kuamka asubuhi, atalia sana, ila akishapata digrii na kupata mapesa, atakumbuka wema was mzazi, serikali ni mzazi,anafanya jambo jema, kamwe asiache kumpa lililo jema mwanae kisa analia sana.

Unaacha kumlisha mtoto chakula kisa analia? Unataka familia yako wale kuku na biriani wafurahi na ukisema uwajengee nyumba wanalia na wewe unawasikiliza?

Tugharamie maendeleo na tujivunie, unajivuna unaporudi kijijini unakuta kituo cha afya, tena kina umeme na dawa na daktari, unaenda kijijini kwa barabara safi, maji yanapatikana, madarasa safi yana umeme, maabara zipo.

Tunaenda China, Marekani na Ulaya tunamwaga sifa kuwa zimeendelea, hao wamepita njia hii hii tena kwa uzalendo mkubwa na jasho.

Leo ndio tunakopa fedha huko, hao wamejitoa sadaka!

Napendekeza nchi yetu isikubali tabia ya kulialia, tuchukue au tuige mfumo wa China na urusi kiasi kuhusu demokrasia, demokrasia isiwe ukuta was kuzuia maendeleo. Linapokuja suala la maendeleo mengine ya wanasiasa yawekwe pembeni, kinataka kujengwa kituo cha afya mwanasiasa anapinga kisa demokrasia!

Nchi inataka shule watu waelimike waendane na dunia,mwanasiasa anapinga.

Nchi inataka reli mizigo isafiri kwa haraka ipatikane fedha ya maendeleo,mwanasiasa anapinga!

Yote huyapati bila kodi na tozo.

Kwa kuzaliwa Mtanzania tayari una jukumu na wajibu kushiriki katika maendeleo, unataka nani akuletee maendeleo? Unataka mzungu wa London akatwe kodi ili barabara ya kwenda kwenu ijengwe? Halafu wewe ambae huko ni kwenu hutaki kutoa tozo ili ujengewe barabara ya kwenda kwenu!

Wakina mama wamezaa watoto, nchi inahitaji watu wenye afya na elimu, tena wengine ni watoto wako na wa ndugu zako, unaambiwa changia watoto wapate huduma bora za afya na elimu,hutaki, unasubiri Bill Gates aje asomeshe na kutibu watoto wako!

China na Urusi wameweza, system iibadili nchi ifate mfumo huo, viongozi wenye nia njema wasikwamishwe na vikelele, China hawakubali ujinga huu hata Urusi na nchi zinasonga mbele!

Kwa pamoja tulikuwa tunaimba ubeberu mbaya, njia ya kuukwepa ni nchi kujitegemea, halafu hutaki kulipa kodi na tozo! Unasema deni la taifa linaongezeka, haya, hatukopi, lipa kodi, hutaki!

Samoa usisikilize kelele za wasiopenda maendeleo, hakuna aliyeleta maendeleo aliyefata kelele za aina hiyo.

Kuna watu watasema katiba mpya, hivi tukishatunga katiba mpya ndio kila mtu atawekewa fedha mfukoni, barabara zitajijenga, hospitali zitajijenga, tutalala nyumbani na fedha zitajileta zenyewe!
 
Hao uliowataja walikamuana na hela ilifanya kazi iliyokusudiwa.

Kwetu hapa subiri taarifa ya CAG mwakani ubadhirifu wa kufa mtu na hakuna anawajibika.

Kwenye miamala ya simu, mafuta na umeme kuna VAT sasa tozo za nini wakati tunalipa kodi.
 
Mbaya zaidi ubadhirufu utaofanya na fweza za ubadhirifu huo ndio zitatumika kutukandamiza wanyonywaji vizuri siku sii nyingi.
 
Mawazo huru yanaweza kukuletea maendeleo kuliko mawazo yakopekee ya kipuuzi na ukafikiri ndio mwisho wa fikra za wote.
Suala la maendeleo hakichagui na lina manufaa kwa wote, halina mjadala,kujenga shule mtoto was kitanzania asome unataka siasa? Mama mjamzito yuko hoi kitandani unampa siasa atakuelewa?
 
Hakika serikali isigeuke nyuma, maana wanaotaka igeuke ni wale wasiotaka kuona mafanikio ya serikali na nchi kwa ujumla. Mbona sisi kila mbunge alikuwa anakatwa milioni 1 kila mwezi kwa muda wa miaka mitano kwa kisingizio cha kujenga makao makuu ya chama na zingine zisaidie katika uchaguzi mkuu.

Lkn matokeo yake hela zote zimeliwa na wajanja wachache huko dubai na afrika kusini, huku wakiiacha makao makuu yakiwa vile vile yamechakaa, na kwenye uchaguzi mkuu chama kikawaomba tena wananchi masikini wakichangie!!!
 
Yaani unafananisha Wachina na Wazungu ambao kwao Taifa ndiyo kipaumbele, na hawa watawala wetu wanao wazia matumbo yao na yale ya watu wao wa karibu! Huku wakiyaweka maslahi ya Taifa mwishoni kabisa!!

Mbona kama kungekuwepo na uzalendo, uwazi na uwajibikaji katika ukusanyaji na matumizi ya fedha za Serikali, hakuna ambaye angelalamika! Sasa fedha zinakusanywa, halafu unakuta wenye dhamana wanapiga tu!!
 
Hao uliowataja walikamuana na hela ilifanya kazi iliyokusudiwa.
Kwetu hapa subiri taarifa ya CAG mwakani ubadhirifu wa kufa mtu na hakuna anawajibika.
Kwenye miala,ya simu,mafuta,na umeme kuna VAT sasa tozo za nini wakati tunalipa kodi.
Kwa inavyoonekana watu hawapingi tozo nyingi bali matumizi ya hizi tozo kama tunavyoambiwa. Kiukweli ntafurahi sana kuona matokeo sawia na kinachochangishwa.

#TulipeTOZO #TujengeTZ
 
Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya watanzania.

Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi, sisi hatutaki kugharamikia vitu hivyo,hatutaki kugharamikia maendeleo.

Hii naifananisha na mtoto, hakuna mtoto anayeanza shule anakubali kirahisi kuamka asubuhi,atalia sana, ila akishapata digrii na kupata mapesa, atakumbuka wema was mzazi, serikali ni mzazi,anafanya jambo jema, kamwe asiache kumpa lililo jema mwanae kisa analia sana.

Unaacha kumlisha mtoto chakula kisa analia? Unataka familia yako wale kuku na biriani wafurahi na ukisema uwajengee nyumba wanalia na wewe unawasikiliza?

Tugharamie maendeleo na tujivunie, unajivuna unaporudi kijijini unakuta kituo cha afya,tena kina umeme na dawa na daktari, unaenda kijijini kwa barabara safi, maji yanapatikana, madarasa safi yana umeme,maabara zipo.

Tunaenda China,Marekani na Ulaya tunamwaga sifa kuwa zimeendelea, hao wamepita njia hii hii tena kwa uzalendo mkubwa na jasho.

Leo ndio tunakopa fedha huko, hao wamejitoa sadaka!

Napendekeza nchi yetu isikubali tabia ya kulialia, tuchukue au tuige mfumo wa China na urusi kiasi kuhusu demokrasia, demokrasia isiwe ukuta was kuzuia maendeleo. Linapokuja suala LA maendeleo mengine ya wanasiasa yawekwe pembeni, kinataka kujengwa kituo cha afya mwanasiasa anapinga kisa demokrasia!

Nchi inataka shule watu waelimike waendane na dunia,mwanasiasa anapinga.

Nchi inataka reli mizigo isafiri kwa haraka ipatikane fedha ya maendeleo,mwanasiasa anapinga!

Yote huyapati bila kodi na tozo.

Kwa kuzaliwa mtanzania tayari una jukumu na wajibu kushiriki katika maendeleo, unataka nani akuletee maendeleo? Unataka mzungu wa London akatwe kodi ili barabara ya kwenda kwenu ijengwe? Halafu wewe ambae huko ni kwenu hutaki kutoa tozo ili ujengewe barabara ya kwenda kwenu!

Wakina mama wamezaa watoto, nchi inahitaji watu wenye afya na elimu, tena wengine ni watoto wako na wa ndugu zako, unaambiwa changia watoto wapate huduma bora za afya na elimu,hutaki, unasubiri Bill Gates aje asomeshe na kutibu watoto wako!

China na Urusi wameweza, system iibadili nchi ifate mfumo huo, viongozi wenye nia njema wasikwamishwe na vikelele, China hawakubali ujinga huu hata Urusi na nchi zinasonga mbele!

Kwa pamoja tulikuwa tunaimba ubeberu mbaya, njia ya kuukwepa ni nchi kujitegemea, halafu hutaki kulipa kodi na tozo! Unasema deni LA taifa linaongezeka, haya, hatukopi,lipa kodi,hutaki!

Samoa usisikilize kelele za wasiopenda maendeleo, hakuna aliyeleta maendeleo aliyefata kelele za aina hiyo

Kuna watu watasema katiba mpya, hivi tukishatunga katiba mpya ndio kila mtu atawekewa fedha mfukoni, barabara zitajijenga,hospitali zitajijenga, tutalala nyumbani na fedha zitajileta zenyewe!
Huna akili
 
Mbona juzi wamechukua trillion 3 na still wanatupiga tozo?
 
Uwekezaji china ni rahisi kuliko Tanzania, hakuna anaepinga kodi, lakini kodi iwe ya mantiki sio kuumiza maskini
 
Kwa inavyoonekana watu hawapingi tozo nyingi bali matumizi ya hizi tozo kama tunavyoambiwa. Kiukweli ntafurahi sana kuona matokeo sawia na kinachochangishwa.

#TulipeTOZO #TujengeTZ
Utasubiri sana kupata hayo matokeo mkuu nchi imejaa watu wabinafsi na wala rushwa hizo tozo haziwezi kuleta matokeo chanya zaidi ya kukuumiza mimi na wewe.
Mbona wakiambiwa wapunguze mishahara yao hawataki.
 
Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya watanzania.

Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi, sisi hatutaki kugharamikia vitu hivyo,hatutaki kugharamikia maendeleo.

Hii naifananisha na mtoto, hakuna mtoto anayeanza shule anakubali kirahisi kuamka asubuhi,atalia sana, ila akishapata digrii na kupata mapesa, atakumbuka wema was mzazi, serikali ni mzazi,anafanya jambo jema, kamwe asiache kumpa lililo jema mwanae kisa analia sana.

Unaacha kumlisha mtoto chakula kisa analia? Unataka familia yako wale kuku na biriani wafurahi na ukisema uwajengee nyumba wanalia na wewe unawasikiliza?

Tugharamie maendeleo na tujivunie, unajivuna unaporudi kijijini unakuta kituo cha afya,tena kina umeme na dawa na daktari, unaenda kijijini kwa barabara safi, maji yanapatikana, madarasa safi yana umeme,maabara zipo.

Tunaenda China,Marekani na Ulaya tunamwaga sifa kuwa zimeendelea, hao wamepita njia hii hii tena kwa uzalendo mkubwa na jasho.

Leo ndio tunakopa fedha huko, hao wamejitoa sadaka!

Napendekeza nchi yetu isikubali tabia ya kulialia, tuchukue au tuige mfumo wa China na urusi kiasi kuhusu demokrasia, demokrasia isiwe ukuta was kuzuia maendeleo. Linapokuja suala LA maendeleo mengine ya wanasiasa yawekwe pembeni, kinataka kujengwa kituo cha afya mwanasiasa anapinga kisa demokrasia!

Nchi inataka shule watu waelimike waendane na dunia,mwanasiasa anapinga.

Nchi inataka reli mizigo isafiri kwa haraka ipatikane fedha ya maendeleo,mwanasiasa anapinga!

Yote huyapati bila kodi na tozo.

Kwa kuzaliwa mtanzania tayari una jukumu na wajibu kushiriki katika maendeleo, unataka nani akuletee maendeleo? Unataka mzungu wa London akatwe kodi ili barabara ya kwenda kwenu ijengwe? Halafu wewe ambae huko ni kwenu hutaki kutoa tozo ili ujengewe barabara ya kwenda kwenu!

Wakina mama wamezaa watoto, nchi inahitaji watu wenye afya na elimu, tena wengine ni watoto wako na wa ndugu zako, unaambiwa changia watoto wapate huduma bora za afya na elimu,hutaki, unasubiri Bill Gates aje asomeshe na kutibu watoto wako!

China na Urusi wameweza, system iibadili nchi ifate mfumo huo, viongozi wenye nia njema wasikwamishwe na vikelele, China hawakubali ujinga huu hata Urusi na nchi zinasonga mbele!

Kwa pamoja tulikuwa tunaimba ubeberu mbaya, njia ya kuukwepa ni nchi kujitegemea, halafu hutaki kulipa kodi na tozo! Unasema deni LA taifa linaongezeka, haya, hatukopi,lipa kodi,hutaki!

Samoa usisikilize kelele za wasiopenda maendeleo, hakuna aliyeleta maendeleo aliyefata kelele za aina hiyo

Kuna watu watasema katiba mpya, hivi tukishatunga katiba mpya ndio kila mtu atawekewa fedha mfukoni, barabara zitajijenga,hospitali zitajijenga, tutalala nyumbani na fedha zitajileta zenyewe!
Sawa kinembeee
 
Taifa ndiyo kipaumbele, na hawa watawala wetu wanao wazia matumbo yao na yale ya watu wao wa karibu! Huku wakiyaweka maslahi ya Taifa mwishoni kabisa!!

Mbona kama kungekuwepo na uzalendo, uwazi na uwajibikaji katika ukusanyaji na matumizi ya fedha za Serikali, hakuna ambaye angelalamika! Sasa fedha zinakusanywa, halafu unakuta wenye dhamana wanapiga tu!!

Kabisa, miaka 60 visingizio kibao, vile vile. Wape hao Wachina, Wazungu, Kagame hata miaka 10 tu. Nchi itakuwa mbali sana na hakutakuwa na visingizio.
 
Asante mleta mada kwa mada yako ya kusisimua juu ya maendeleo ya nchi ama bara.

Kwa kuwa hoja yako imeshiba haswa, naomba sasa usiadie kuishushia maji ili iburudike kwa shibe halisi. Yaani, mleta mada ninaomba takwimu za kukopa na kutozana kodi za nchi za Marekani, China , na bara Ulaya wakati huo zilipokuwa zinapambana kujiletea maendeleo unayosema twashangaa tuendapo kwenye nchi hizo na bara hilo.

Pia Usisahau kukokota na kuwasilisha takwimu za mchango uliotoka Afrika kwa dhuruma wakati nchi hizo zikipiga hatua. Mchango huo ni pamoja na nguvu kazi na rasilimali asilia zilizotumika kujenga nchi hizo na bara hilo!

Naweka kigoda kusubiri majibu yenye takwimu huku nikitarajia hutanipa jibu jepesi la nenda kagoogle!
 
Back
Top Bottom