China; Mshirika Mkuu Ajaye katika Vita dhidi ya Ugaidi

Bwasheee.. mimi siongelea nani kafanya zaidi.
Haukuwa na Madhara kiaje?.
Kuvamia Nchi ambayo haina hata muislam mmoja na kuwalazimisha watu kuslim ni jambo linaloweza tokea bila madhara?.
Nb; hoja yangu haikuwa nani alifanya zaidi nani alifanya kidogo.
Hoja yangu ilikuwa vile unajaribu ku- trivialize Idadi ya waislam Marekani..
Ndiyo na mimi nikakukumbusha kuwa Spain ilitekwa na waislam ilhal hakukuwa hata Muslim mmoja ndani Spain.
Hayo mengine unajiongelesha tu kukwepa hoja ya Msingi.
 
Tatizo mnatoa elimu kubwa Kwa mamburula you can't fix them

Kama Hillary Clinton alishawahi kuongea kuhusu hizo issues but still Kuna watu wapo samvu lachole wanapinga don't you see hao watu Kuna some 🔩 ziko lose kichwani !?
 
Brain 📌
 
kwa vipi ? Wayahudi wamewadhuru watu gani zaidi ya Maarabu magaidi ?! Majinga yanayoua watu eti yatapewa mabikra 72
Kwani huko kusini mwa Lebanon walipojaa wakristo ni magaidi? Unajua ya kwamba takribani nusu ya walebanon wote ni wakristo? Hivi unajua genetically Lebanon ni phoenicians na sio waarabu?

Pia westbank huko Bethlehem unajua ni makazi ya wakristo wa kipalestina ila kila siku wanauwawa na kuvunjiwa makanisa? Huko hakunaga Hamas wqla nini ila wanateketezwa kila siku. Badala ya wakristo muwaunge mkono eti ndio kwanza mnatetea hao wanaomaliza.

Wengi mnaodandia hii mada naona huwa hamuelewi kabisa mnachoshabikia.
 
Sasa uvamizi wa nchi moja kwenye nchi nyingine una uhusiano gani na uwepo wa dini kwenye nchi husika?

Yaani marekani ikivamia Iran sio wakristo kuvamia waislam ila Moors chini ya Umayyad empire kuvamia spain inageuka kuwa waislam kuvamia wakristo?

Punguza udini. Inakupofusha kuona mambo katika uhalisia wake
 
kwahiyo baada ya kvaja maeneo mawili Wayahudi wanayopiga umeitetea dhana "Wayahudi ni Adui wa DUNIA"

Je tukitaja maarabu yanafanya ugaidi unadhani ni wapi maislamu hayafanyi ugaidi ? Kila kona Africa, Asia, Europe nyie ******* mnafanya upumbavu kwa eti kutafuta bikra 72
 
Wapagani atheist niwatu poa sana hawa jamaa hawajawai kuua mtu wala kubagua walio nadini
 
kwahiyo baada ya kvaja maeneo mawili Wayahudi wanayopiga umeitetea dhana "Wayahudi ni Adui wa DUNIA"
Hiyo ni mifano tu kukuonyesha ulivyo mweupe kichwani. Unadai Israel inaua magaidi cha ajabu inaua na kubomoa nchi ambayo nusu ya raia wake ni wakristo umeisha kuona aibu.

Wayahudi wamesumbua dunia na sio maneno yangu. Martin Luther ambaye ndio muasisi wa protestants (KKKT n.k) alisema wayahudu ndio cancer ya dunia. Walivuruga ulaya sana kwa kutengeneza fitna serikalini, kuhujumu uchumi wa watu na ndio maana Hitler alipokuja aliwachinja zaidi ya million 6.

Hapo sijaongelea huko urusi walipokua wakifadhili mapinduzi, huko ufaransa na Hispania pia walikua wanahujumu serikali za huko hadi kupelekea kufukuzwa.

Kasome historia ya The Jewish question utajifunza kwanini walikua wanakataliwa kila nchi waliyoishi.

 
Je tukitaja maarabu yanafanya ugaidi unadhani ni wapi maislamu hayafanyi ugaidi ?
Ndio taja, ulivyo mpumbavu hujui hata vinavyoitwa vikundi vya kigaidi vimeanzishwa na kufadhiliwa na wazungu na wayahudi!!

Mfano tu Al Qaeda imesumbua sana dunia nzima mpaka Tanzania wamewahi lipua ubalozi. Cha ajabu imeanzishwa na kufadhiliwa na USA kupitia ufadhili wa Operation cyclone ambapo waliwapa silaha na mafunzo wajahidina kuanzia 1979 mpaka 1992.

Ila ulivyo wa ajabu unaamini hao wanaofanya ugaidi ni waislam.

Embu ingia Google andika Operation cyclone alafu ndio urudi hapa kutoa mapovu yako.
 
Ikiwa umeona Udini kwenye Comment yangu,inamaanisha umevaa miwani ya Udini ndiyo maana umedetect Udini kwa Koment yangu.
Joshua Nasari alipouawa na Hamas ulisema “ Collateral damage” .
Jushua angelikuwa anaitwa Iddy ama Athman na kauawa na Israel Saver za JF zingelijaa kwa Nyuzi.
 
Umeandika literally kuhusu uvamizi wa kiislam meaning ni dini badala ya kutaja utawala wao kma ni moors au umayyad empire.

Acha kuangalia kila kitu kidini, vita ya mashariki ya kati ni ya ardhi kuliko dini. Otherwise, Israel isingelipua synagogue la wayahudi huko Iran Au lisingeua wakristo waliopo West Bank na kulipua makanisa ya Lebanon.
 
hawaruhusu labda wanaruhusu magaidi wajinga wanaosaka bikra 72 kuweka ujinga wao humu na wakikosolewa wanakimbilia kulilia mamoderators. Stupid asshol*e
Humu ni mijadala ya hoja sio matusi, tatizo jf imejaa watoto wengi siku hizi. Siwezi debate na waswahili wa aina yako tafuta mtoto mwenzio.
 
Humu ni mijadala ya hoja sio matusi, tatizo jf imejaa watoto wengi siku hizi. Siwezi debate na waswahili wa aina yako tafuta mtoto mwenzio.
Wewe ndio ulianza kunitukana nilipokujibu umeanza kujifanya kunywea na ndio makobazi yalivyo. Hua ni mamtu majinga machokozi ajabu wakijibiwa na uchokozi wao wanaanza kutia huruma. Eti bikra 72 na mito ya pombe haya mamtu ni majinga haijawahi kutokea

Na mimi sio mtoto nina umri wa kumkojoza mamako falasi gaidi jinga moja wewe. Tusi la kwanza ulitoa wewe cha ajabu unajifanya kunywea eti hautukani yani makobazi bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…