Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
wanakwepaje kodi wakat viwanda vimejengwa mnapata ajiraRafiki anayeleta viwanda vya yeboyebo na ajira za 5000 kwa siku. Na viwanda vyenyewe vimefichwa uswahilini maana yake ni wakwepa kodi pia.
Ajira ya 5000 kwa siku?wanakwepaje kodi wakat viwanda vimejengwa mnapata ajira
bado hamuna shukrani mnapenda wale wapuuzi wanavyowaletea ubaradhuri eeeeeeh
Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
kama wasingekua wanapata hio 5 unahisi wangekua nakazi gani?Ajira ya 5000 kwa siku?
Wangekuwa vijijini wanalima, kazi gani ambayo hata hela ya kula haitoshi? Wanachofanya hawa ni kutumia shida na ujinga wa watanzania wengi kuwanyonya zaidi.kama wasingekua wanapata hio 5 unahisi wangekua nakazi gani?
Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
Ajira ya 5000 kwa siku?