Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Hizo ni biashara za kimataifa.. huwezi ufanya kila kitu mwenyewe.. ipo mikataba ya biashara... mfano hapa tz ili uweze kuanzisha kampuni ni rahisi sana mkiwa wamiliki zaidi ya mmoja ( mnaweka hisa)...China kumbe naye ni mjanja sana na mbwembwe zote kuzindua ndege zake lakini mfumo mzima amesaidiwa na mataifa ambayo anayaletea kifua.
Ukishangaa ya Yemeni na Palestina basi ya China ndiyo haya angalia ndege ya China.
View attachment 2882621
China kumbe naye ni mjanja sana na mbwembwe zote kuzindua ndege zake lakini mfumo mzima amesaidiwa na mataifa ambayo anayaletea kifua.
Ukishangaa ya Yemeni na Palestina basi ya China ndiyo haya angalia ndege ya China.
View attachment 2882621
Atajulia wapi huyu?Kwani Boeing na airbus zinatengenezwaje mkuu?
Wenzako wanafanya assembly tu ila parts nyingi kuna makampuni ndani na nje ya nchi zao wanatengeneza.
We mjinga Unazani Boeing kila kitu kinaundwa Marekani?Uko buza ila unajifanya mjuaji kuliko hata hao wa Marekani wenyewe.China kumbe naye ni mjanja sana na mbwembwe zote kuzindua ndege zake lakini mfumo mzima amesaidiwa na mataifa ambayo anayaletea kifua.
Ukishangaa ya Yemeni na Palestina basi ya China ndiyo haya angalia ndege ya China.
View attachment 2882621
huyo ni kamasi tu hakuna anacho juaKwani Boeing na airbus zinatengenezwaje mkuu?
Wenzako wanafanya assembly tu ila parts nyingi kuna makampuni ndani na nje ya nchi zao wanatengeneza.
Kuna swala la kutengeneza trust pia ili wawe na imani na huzo air line kwa kuwa hawatapanda watching pekeeChina kumbe naye ni mjanja sana na mbwembwe zote kuzindua ndege zake lakini mfumo mzima amesaidiwa na mataifa ambayo anayaletea kifua.
Ukishangaa ya Yemeni na Palestina basi ya China ndiyo haya angalia ndege ya China.
View attachment 2882621
KabisaYou know nothing about geopolitics and economy moron
NAKAZIAKwani Boeing na airbus zinatengenezwaje mkuu?
Wenzako wanafanya assembly tu ila parts nyingi kuna makampuni ndani na nje ya nchi zao wanatengeneza.
China wako mbali sana sana, miaka miaka 10 hadi 15 ijayo, vifaa vingi vitakuwa vinatengenezwa China. Hata Boeing na Airbus wananunua kwa hayo makampuni na hawatengenezi wenyewe. China itakuwa tishio kweli kweli muda si mrefu.Hizo propaganda tu, Asilimia kubwa ya Vifaa ni vya china kama tu ndege nyingine Duniani....ambapo baadhi ya vifaa huagizwa nje hata Boeing hufanya hivyo hivyo.....
Marekani wanapiga sana vita China isionekane imeendelea kwa technologia kitu ambacho hawatakiweza....kwani China inakwenda kwa kasi sana.....ipo level nyingine....
Wamarekani walianza kusema Ndege hiyo haina ubora na kuipinga sana isiingie sokoni (kama vifaa vilikuwa vyao kwanini walipinga kwa nguvu zote kuwa haina ubora?)
Baada ya majaribio ya zaidi ya miaka 6 ikaonekana haina shida na hivyo kuruhusiwa iingie sokoni
Na hii ndio inaenda kuwamaliza Boeing kwa hizi ndege za kati kwa kiasi kikubwa kwani yenyewe Inauzwa bei ya kizalendo, inatumia mafuta kidogo, na inauimara wa kuaminika