China na kuzindua ndege yake C919 lakini vitu vyote vinatoka kwa wababe wake

Ndio ilivyo katika mambo ya teknolojia. Hata gari ya Toyota kwa mfano, siyo kila kitu katengeza yeye
 
Ndio ilivyo katika mambo ya teknolojia. Hata gari ya Toyota kwa mfano, siyo kila kitu katengeza yeye

Jamaa kambilia tu kupost bila kutumia ubongo kidogo tu kufikiri. Hii dunia hakuna nchi hata moja ambayo vifaa vyote ni vyao. Fungua tu hata karedio kidogo uone OEMs walivyojaa humo. Uskute jamaa ana Iphone kabisa lakini check hii, amemuona USA hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…