China na Tanzania zashindwa kuafikiana kwenye ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Ujenzi wakwama

China na Tanzania zashindwa kuafikiana kwenye ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Ujenzi wakwama

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Serikali imesitisha mazungumzo na wawekezaji katika Bandari ya Bagamoyo, Mradi ambao ungegharimu Tsh. Trillion 23. Wawekezaji katika mradi huo walikuwa ni China Merchant Holdings International Limited (CMHI) na State General Reserve Fund (SFRF) ya Oman.

======

The government admitted yesterday that it has not made progress with the implementation of Bagamoyo port project because of failing to reach an agreement with Oman and China, who are the project implementing partners.

In November, 2017, Oman’s State General Reserve Fund (SGRF) announced that the Bagamoyo project was going ahead, saying it consisted of the construction of a maritime port, which would be built to international standards and would be developed in phases.

According to the SGRF, the first phase will conclude four marine berths, two of which will be allocated for containers, one for multiple uses and the other for support services.

However, the time frame for completion of the project remains unclear.

The project, which was well pronounced during the late days of former President Jakaya Kikwete, was initially signed in 2013 during an event that was witnessed by Chinese President Xi Jinping. Since then, there has been a change of focus with priority, apparently, being rehabilitation of ports of Dar es Salaam, Tanga and Mtwara.

Speaking in Parliament yesterday, the minister for State in the Vice President’s Office (Union Affairs and Environment), Mr January Makamba, said no agreement has so far been reached with the investors from China and Oman.

The minister was reacting to a supplementary question by Magogoni legislator Suleiman Yusuf (CUF), who sought to know about the progress of the project.

“We are yet to reach an agreement with the project implementing partners from Oman and China,” said Mr Makamba.

Mr Yusuf said the delay in decision making on the implementation of the Bagamoyo project was preventing Oman from financing the construction of the Zanzibar-based Mpigaduli port.

In his primary question, he asked on how the Union Government of Tanzania echoed the Revolutionary Government of Zanzibar’s efforts to construct a big port.

Responding, the ministry’s deputy minister, Mr Mussa Sima, said the Tanzania Ports Authority (TPA) and Zanzibar Ports Corporation (ZPC) have been exchanging expertise to improve service delivery.

The Citizen | Aprili 19, 2019
 
Tatizo linakuja hakuna ata details zozote zinazotoka nini kipo ndani ya mkataba kujua what is right or wrong even in light details bila ya kujua 'nitty-gritty' za mkataba.

Kuna watanzania wengi sana wenye uelewa wa kudadavua economic benefit ya mikataba na maswala ya biashara na uchumi waliokando ya serikari hapo ndio tatizo lilipo.
 
Tatizo linakuja hakuna ata details zozote zinazotoka nini kipo ndani ya mkataba kujua what is right or wrong even in light details bila ya kujua 'nitty-gritty' za mkataba.

Kuna watanzania wengi sana wenye uelewa wa kudadavua economic benefit ya mikataba na maswala ya biashara na uchumi waliokando ya serikari hapo ndio tatizo lilipo.
Ni kweli but si kwa Trillion 23 za kitanzania
 
tukimaliza SGR na Stigler's gorge tuanze kuijenga hiyo bandari taratibu wenye (tena kama kuna ulazima), kinyume na hapo tuendelee kuiboresha hii ya DSM tuliyonayo. Hoa wachini sio wa kuwaendekeza tutajikuta tumewauzia nchi!
 
Ni kweli but si kwa Trillion 23 za kitanzania
We dont know the projection on the other side of multiplier effect ya economic zone nje ya port kama railway and so forth.

Kama wachangiaji inapaswa tujue hiyo hela inawekezwa wapi na kipi mchina atashikilia, what not and what are the returns.

It might be a good deal or a bad lakini sio kwa uchambuzi wa wataalamu wa serikari hawa ni watu ambao awaelewi dreamliner kwa mwaka inatakiwa itengeneze si chini ya $20ml of gross profit annual to break even kuonyesha hela ya walipa kodi aijaenda bure. Ndege yenyewe ndio kwanza imepaki mpaka na wanafikiria iende wapi ina maana kwa mwaka ime loose hizo hela, sasa kwa fikra za hawa wenzetu ni swala ambalo alikubaliki in investment terms.

Kwa mtazamo huo wasidhani watu watatumia hela zao bila ya kuangali return of investment kama wataalamu wetu wanavyochukulia hela ya mlipa kodi poa. Kwa minajili hiyo ili mtu uwe na opinion tumeonewa kimkataba au la; walau upate preambles za mkataba.
 
Tatizo linakuja hakuna ata details zozote zinazotoka nini kipo ndani ya mkataba kujua what is right or wrong even in light details bila ya kujua 'nitty-gritty' za mkataba.

Kuna watanzania wengi sana wenye uelewa wa kudadavua economic benefit ya mikataba na maswala ya biashara na uchumi waliokando ya serikari hapo ndio tatizo lilipo.
Very true
 
We dont know the projection on the other side of multiplier effect ya economic zone nje ya port kama railway and so forth.

Kama wachangiaji inapaswa tujue hiyo hela inawekezwa wapi na kipi mchina atashilia, what not and what are the returns.

It might be a good deal or a bad lakini sio kwa uchambuzi wa wataalamu wa serikari hawa ni watu ambao awaelewi dreamliner kwa mwaka inatakiwa itengeneza si chini ya $20m kuonyesha hela ya walipa kodi aijaenda bure; ndege yenyewe ndio kwanza imepaki ina maana kwa mwaka ime loose hizo hela.

Sasa wasidhani watu watumia hela zao kwa mtazamo wa mambo kama wataalamu wetu wanavyochulia poa ili mtu uwe na opinion tumeonewa kimkataba au la; walau upate preambles za mkataba.
Pamoja na argument nzuri unashindwa h!!! Eti awaelewi baadala ya hawaelewi! Acha utoto
 
Hatuna haja nna bandari ya Bagamoyo! Hongera Magufuli kwa hili! Hata kama gharama ingekua chini ya milioni mia za kitanzania!! Hapa Jk alikuwa anatengeneza mkeka wake wa kupumzikia! We miss you JK!
Hahaaa, sielewi unasema nini aisee. Bora ungeweka sababu zako za kuwa na mawazo kama hayo. Kama hujatumiwa na washindani wetu katika biashara hiyo, basi sielewi msukumo unaokufanya uone hivyo ni upi.

Sababu mhimu hapa ninayoiunga serikali kukataa mpango huo ni kama masharti ya kuujenga mradi huo ulikuwa hautunufaishi sisi, au ungesababisha uhuru wetu kuingiliwa. Kwa mfano, kama masharti ya wawekezaji hao yalihitaji kuumiriki mradi huo kwa miaka 90, nisingekubali.

Kutakuwa kuna sababu mhimu zilizofanya serikali ikubaliane na masharti, lakini hilo haliondowi umhimu wa mradi huo kama masharti yangekuwa yanakubalika.
Mradi huo ni mhimu sana, na nina hakika wakati ukifika utafufuliwa tu, aidha kwa sisi wenyewe kuujenga, au kuujenga tukishirikiana na wawekezaji kwa masharti maalum yenye manufaa kwa taifa letu.
 
Duh,yaani mitrilioni yote hyo wakati tuna bandari za Dar,Mtwara, na Tanga???

Bora hizo pesa zingewekezwa kwenye miundombinu ya umwagiliaji huenda zingeleta tija na matokeo chanya baada ya muda mchache tu.

Ukizingatia nchi yetu imebarikiwa kuwa na mabonde mazuri kabisa yenye rutuba.

Bora tu wameshindwa kuafikiana!
 
Back
Top Bottom