We dont know the projection on the other side of multiplier effect ya economic zone nje ya port kama railway and so forth.
Kama wachangiaji inapaswa tujue hiyo hela inawekezwa wapi na kipi mchina atashikilia, what not and what are the returns.
It might be a good deal or a bad lakini sio kwa uchambuzi wa wataalamu wa serikari hawa ni watu ambao awaelewi dreamliner kwa mwaka inatakiwa itengeneze si chini ya $20ml of gross profit annual to break even kuonyesha hela ya walipa kodi aijaenda bure. Ndege yenyewe ndio kwanza imepaki mpaka na wanafikiria iende wapi ina maana kwa mwaka ime loose hizo hela, sasa kwa fikra za hawa wenzetu ni swala ambalo alikubaliki in investment terms.
Kwa mtazamo huo wasidhani watu watatumia hela zao bila ya kuangali return of investment kama wataalamu wetu wanavyochukulia hela ya mlipa kodi poa. Kwa minajili hiyo ili mtu uwe na opinion tumeonewa kimkataba au la; walau upate preambles za mkataba.