Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,772
I hope utampongeza pia utaposikia tumeburuzwa mahakamani kwa kuvunja mkataba. CCM ni ile ile ya kifisadi na mashabiki wake ni mazuzu wale waleHatuna haja nna bandari ya Bagamoyo! Hongera Magufuli kwa hili! Hata kama gharama ingekua chini ya milioni mia za kitanzania!! Hapa Jk alikuwa anatengeneza mkeka wake wa kupumzikia! We miss you JK!
Hahahaa mkuu jasusi don't catch the stick inna wrong end! Hiyo pongezi nimeirusha kwa nyuma, with no proper target!I hope utampongeza pia utaposikia tumeburuzwa mahakamani kwa kuvunja mkataba. CCM ni ile ile ya kifisadi na mashabiki wake ni mazuzu wale wale
Naona Oman walikuwa wajenge ya Zanzibar ila naona kuna ubano zaidi hapoHao Oman ni kama chambo tu kwenye huo mradi, China angekuja kutudhulumu kama kawaida yao, ingekuja kuwa chini ya hawa Whitedog wa china kwa miaka 200.......
Daaah Gas ya Mtwara tulipambana ila kiukweli wabunge wa ccm walikutana ukumbini kila mmoja akakunjua noti wakatusaliti watzCCM wangetuingiza mkenge mwingine kama wa gesi Mtwara!
Naskia hii mikataba walio isaini ni aibu ndiyo maana imekuwa ikifichwa, unaletewa mikataba yenye page 500 mtu anabaki akiangalia picha kama vile kusoma vichwa vya magazeti kwenye yale maandishi makubwa....Naona Oman walikuwa wajenge ya Zanzibar ila naona kuna ubano zaidi hapo
Wachina hata kisima cha nyumbani nisingewapa wanijengee maana malipo yakichelewa tu wanachukua nyumba yote
Hawafai na mikataba yao inatakiwa iangaliwe vizuri sana na sio kusaini tu kama tulivyozoea.
Kwa kweli serikali imejitahidi kwa hili maana bora kusema siwezi kusoma page 200 zote kuliko kusaini tu
Waswahili wengi hawapendi kusoma maandishi mengi [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naskia hii mikataba walio isaini ni aibu ndiyo maana imekuwa ikifichwa, unaletewa mikataba yenye page 500 mtu anabaki akiangalia picha kama vile kusoma vichwa vya magazeti kwenye yale maandishi makubwa....
Wangedai mbuga ya Serengeti iwe dhamana. Kwa uamuzi huu viva MagufuliHao Oman ni kama chambo tu kwenye huo mradi, China angekuja kutudhulumu kama kawaida yao, ingekuja kuwa chini ya hawa Whitedog wa china kwa miaka 200.......
Sio kweli.Hatuna haja nna bandari ya Bagamoyo! Hongera Magufuli kwa hili! Hata kama gharama ingekua chini ya milioni mia za kitanzania!! Hapa Jk alikuwa anatengeneza mkeka wake wa kupumzikia! We miss you JK!
We dont know the projection on the other side of multiplier effect ya economic zone nje ya port kama railway and so forth.
Kama wachangiaji inapaswa tujue hiyo hela inawekezwa wapi na kipi mchina atashikilia, what not and what are the returns.
It might be a good deal or a bad lakini sio kwa uchambuzi wa wataalamu wa serikari hawa ni watu ambao awaelewi dreamliner kwa mwaka inatakiwa itengeneze si chini ya $20ml of gross profit annual to break even kuonyesha hela ya walipa kodi aijaenda bure. Ndege yenyewe ndio kwanza imepaki mpaka na wanafikiria iende wapi ina maana kwa mwaka ime loose hizo hela, sasa kwa fikra za hawa wenzetu ni swala ambalo alikubaliki in investment terms.
Kwa mtazamo huo wasidhani watu watatumia hela zao bila ya kuangali return of investment kama wataalamu wetu wanavyochukulia hela ya mlipa kodi poa. Kwa minajili hiyo ili mtu uwe na opinion tumeonewa kimkataba au la; walau upate preambles za mkataba.
Asante sana. Bila kuisahau kuwa huu mradi ni zao la bwana ''safari za nje'' enzi zake. Hakuna nchi au shirika litakalowekeza kwenye mradi mkubwa kama huo bila kupata faida kubwa kabisa. Hizi bandari tulizonazo ziboreshwe. Kama ulivyosema nguvu kama hizi zingeelekezwa kwenye kilimo ambapo ndipo watanzania wengi wanakotegemea tungefanya jambo la maana.Duh,yaani mitrilioni yote hyo wakati tuna bandari za Dar,Mtwara, na Tanga???
Bora hizo pesa zingewekezwa kwenye miundombinu ya umwagiliaji huenda zingeleta tija na matokeo chanya baada ya muda mchache tu.
Ukizingatia nchi yetu imebarikiwa kuwa na mabonde mazuri kabisa yenye rutuba.
Bora tu wameshindwa kuafikiana!
Unajenga bandari Bagamoyo unakuza kamji kadogo kisha unauwa bandari ya Dar ambayo tayari imeunganishwa na miundo mbinu muhimu yote.Sio kweli.
Bandari ya bagamoyo ingekuwa kubwa kuliko zote. Tunahitaji bandari bagamoyo tatizo hela hatuna na wafadhili wanataka wakijenga waiendeshe miaka 50.
Kama bandari ingejengwa mji wa bagamoyo ingekuwa sanaaa. Na maendeleo yangekuwa makubwa
Sioni ulazima wa hiyo barabara wakati kuna upanuzi wa barabara itakayoondoa kabisa msongamano bandarinitukimaliza SGR na Stigler's gorge tuanze kuijenga hiyo bandari taratibu wenye (tena kama kuna ulazima), kinyume na hapo tuendelee kuiboresha hii ya DSM tuliyonayo. Hoa wachini sio wa kuwaendekeza tutajikuta tumewauzia nchi!
Hii ni zaidi ya bajeti hapo ni usd
Asante sana. Bila kuisahau kuwa huu mradi ni zao la bwana ''safari za nje'' enzi zake. Hakuna nchi au shirika litakalowekeza kwenye mradi mkubwa kama huo bila kupata faida kubwa kabisa. Hizi bandari tulizonazo ziboreshwe. Kama ulivyosema nguvu kama hizi zingeelekezwa kwenye kilimo ambapo ndipo watanzania wengi wanakotegemea tungefanya jambo la maana.