China Officially launches research on 6G while America and Europe are busy with 5G..Africa is comfused..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sababu sisi twasema ukweli nyinyi mwadanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli maana mlisema US Hawata Athirika Na Corona Ila sasa hv mna anza kuteseka Huu Nizaidi Yaukweli Kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji14]

Mkiambiwa wa US wa Afrika Nawa US wa US Kwenyewe Mnaongozwa Na Kichaa Mnakataa

Ukweli Wenu Mliousema Kwamba Korolokwini Inatitibu corona Uliishia Wapi Tena [emoji16][emoji23][emoji23]

US Beibe [emoji23][emoji23][emoji14][emoji12]

Sent using My COVID-19
 
6G bila Quantum technology ni ndoto.. mpaka sasa aliyefanikiwa kufumbua fumbo gumu kuhusu Hesabu hii ni Google peke yake. Hivyo US aki- trigger kwenye 6G atashinda vita mapema kuliko unavyofikiri.

Hata ukizungumza suhala 5G China anatumia propaganda, rushwa na siasa chafu kupenyeza utawala wa Huawei. Ukija kwenye speed na technology inayotumika China huwezi ilinganisha na mfumo wa 5G unaotumiwa na Verizon ya America. Mfumo wa Verizon ni millimeter spectrum wenye Kasi zaidi duniani..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali ni nani anaetaka kutumia Verizon?? Ulaya, Asia na Africa karibuni nchi zote duniani zinatumia technology rahisi (HUAWEI) bila ya masharti ya kijinga kama ya huyo marekani, Verizon yake atatumia mwenyewe apambane na Corona kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa naona umechafukwa kabisa na US Supremeny kwenye technology.. kwa Sasa mchina anaonekana mzuri kwa sababu anataka ku- dominate ila akifanikiwa lengo lake lazima ageuke mtawala mwenye masharti kibao.. hii ni kanuni ya utawala popote pale duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea point sana chukua kifaa Cha Nokia au Samsung, alafu linganisha na Huawei Kuna utofauti mkubwa sana kiubora

Mfano watu wengi wanaamin Huawei ndo leading kwenye 5G kitu ambacho sio kweli, Huawei yeye anajivunia kwa sababu Yuko cheap na sio ubora Kama alivyo Samsung au Nokia

Ndo maana technical wamefeli kwenye magari yaan wameshimdwa kuwa dominant, 6 G ita involve Artificial intelligence eneo ambalo Western countries wako vizuri

China Hana msingi wa ubunifu anachukua version ya products ya Western countries anaitengeneza kwa ubora wa chini na in cheapest way, mwisho wa siku lazima atauza sana mfano kariakoo Kuna earphone za kichina Zina elfu 4 Hadi 3, zile hazikai Zaid ya miez minne zimesha haribika kwa mwaka unajikuta umenunua Zaid ya Mara tatu, hio ndo Chinese model
 
Moja ya vitu unavyoviweza ni ushabiki, jamaa amekujibu ki-professional we umemjibu kishabiki
 
Kwenye technologia mchina hamuwezi mmarekani Hilo liko wazi hata wachina wanajua
 
Hivi waafrika tumewahi kugundua nini recently chenye faida kwa dunia ya sasa ?
 
Speed ya china ni kubwa mno ikija kwenye swala la development, tatizo lao ni moja tu, wnatengeneza haraka ila vitu vyao havina quality ukilinganisha na western countries au nchi nyingine zilizopo ukanda moja kama South Korea.
China anatengeneza bidhaa kwa mujibu wa hali/uchumi za watumiaji.

Bidhaa anazotengeneza kwa ajili ya soko la Ulaya ni tofauti kabisa na anazotengeneza kwa ajili ya soko la Afrika ikiwemo Kariakoo.
 
China anatengeneza bidhaa kwa mujibu wa hali/uchumi za watumiaji.

Bidhaa anazotengeneza kwa ajili ya soko la Ulaya ni tofauti kabisa na anazotengeneza kwa ajili ya soko la Afrika ikiwemo Kariakoo.

Si kweli, hata anazotengeneza kwa soko la ulaya ni low quality ukilinganisha na product za nchi nyingine. Hiyo story mliaminishwa tu ila hua si ya kweli. Wachina wana low quality products no matter the market, vitu vingi wanaigaiga au kuiba, kufanya research wao wengewe wakaja na kitu very high quality hata kwa gharama ya juu haijawahi tokea
 
Haya mambo ya Digital Telecommunication Technology ni mambo madogo sana, huku kwa "Shithole Countries" ndio tunaviona kama vitu vya ajabu sana.

Wazungu walianza kutumia simu enzi hizo wachina bado wakiishi mapangoni.

Hayo mambo ya sijui 2,3,4,5,6 Generation Cellular Networks ni lugha tu za watu kutumia kutafuta pesa, hamna kitu hapo.

Hata wakija kutengeneza ya 20G bado tu haitakuwa,'Problem Free'. Watu hawalali wanatafuta mbinu ya kusaka pesa sisi huku kwenye bara la giza kazi ni kushangilia. Bogus kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…