China ready to avail $7.6 bln for remaining SGR

Acha uongo wewe! Hivi kwa huyu uchwara asiyeshauriwa unadhani kuna mtu angekuwa na ubavu wa kuuvunja huo mkataba!?

Tanzania's turn to Turkey for SGR funds leaves China in limbo

It is understood that the new administration blacklisted the Chinese firms that had won the tender under the previous administration, leaving the Turkish firms to execute the initial part of the project.

 
Uwe na uwezo wa kusoma na kuelewa mkopo huo mwanzo ulikuwa na terms na conditions ambazo zingetuumiza ndo maana Magufuli ali-cancel. Sasa wamerekebisha ndo maana wamekubaliwa.
Huwezi kuomba mkopo kwa masharti yako hapa serikali ndio imerudi kwa serikali ya China kuomba mkopo na bado haujakubaliwa soma vizuri wanataka feasibility study kwanza. Serikali ya awamu ya nne ilikuwa imeshatayarisha mkopo huu lakini awamu ya ya tano ikaigeuka China kwa kukimbilia Uturuki ambayo haina uwezo wa kutupa mkopo. Yule Balozi wa China Tanzania aliyekuwa kipenzi wa CCM aliondoka na ndio alikuwa kiungo muhimu huyu dada Balozi mpya ni very junior. Kwenye mikataba mikubwa kama hii inabidii Mheshimiwa Rais Magufuli aende China kukutana na Rais wa China kama walivyofanya Rais wa Kenya na Ethiopia. Mkopo huu ni mkubwa sana kwa Waziri wa Fedha kushughulikia
Serikali ya awamu ya tano ipo makini sana kwa matumizi ya pesa nina uhakika mkopo huu mkubwa ukipatikana utatumika vizuri.
 
I do not know that you have mental problems I do not know that you are talking about things you do not know or how, in parliament on the submission of the government plans report 2017 \ 2018 this SGR project was stated that there is full funding financed by the government 100‰,

the screaming criticism for the private sector to participate in the project instead of government was raised by you yet now you are talking otherwise, and government budget of 2016 \ 17 and 2017 \ 18 funds of the SGR were allocated what you now oppose here?

Surprisingly your strong sources are stories from newspapers with no confidential statements from responsible minister just rumors, where on earth big money like that between two sides offered without agreements and contracts signing up.? Where did GoT and Turkey signed the contracts for financing SGR and which bank offered that loan?

Pathetic that shows how shallow you are on general aspects
 
Unapoteza muda na 'bundle' kuwajibu warukia matukio. Bandiko lako la awali lilitosha kutoa habari.
 
rekebisha hapo juu waturuki hawakupewa bali walishinda hiyo tenda na hiyo ni INTERNATIONAL TENDER maamuzi lazima yaheshimiwe
 
Huu Uzi uhamishwe to Tanzanian news and politics mkabishanie huko wenyewe kwa wenyewe.
 
rekebisha hapo juu waturuki hawakupewa bali walishinda hiyo tenda na hiyo ni INTERNATIONAL TENDER maamuzi lazima yaheshimiwe
Nakubali waturuki walishinda tenda na waliokuwa wanafadhili mradi huo walikuwa wachina. Sera ya China haiwezi kutoa mkopo halafu makampuni ya ujenzi kutoka China yasipewe tenda za ujenzi
 
 
Stupid liar! Fully finding financed by the government!?
If this is true then why the same government should go around the World begging various countries to finance this project!?

Soma kwa makini kinachojadiliwa hapa badala ya kukurupuka na kuonyesha ujuha wako hadharani.

Na hii Serikali ya wasema uongo ndiyo unataka tuiamini!? Tuna pesa chungu nzima hapo hapo wameshindwa kukomboa pangaboi kutoka Canada. Bajeti ni 29 trillions wanaishia kutoa 35% ya bajeti yote.

Hii Serikali si inafungia magazeti yanayoanadika uongo!?
Mbona haya kama yameandika uongo hayajafungiwa?


Peleka upuuzi wako kwa wapuuzi wenzio mtaa wa lumumba.

 
Unyoko unatoka wapi wacha kutoa mapovu nani anaweza kukupa mkopo halafu umpe mtu mwingine tenda za ujenzi.
Nenda kasome China imetoa mikopo mingapi duniani kwa ujenzi wa miundo mbinu haswa ujenzi wa reli. Tulianze na mbwembwe nyingi na fedha za ndani kupeleka kujenga reli sasa serikali inafanya U turn baada za kelele za wabunge
 
duh,umekomaaa tu kutetea ujinga.hii awamu ya mwanasarakasi ******** mtanyooka tu😀
Uwe na uwezo wa kusoma na kuelewa mkopo huo mwanzo ulikuwa na terms na conditions ambazo zingetuumiza ndo maana Magufuli ali-cancel. Sasa wamerekebisha ndo maana wamekubaliwa.
 
hakuna fedha ya ndani, wamekopa tr zaidi ya 5 .
 
Mmmmmh! $7.6 billion is about Ksh800 billion. Mombasa Nairobi 350billion shillings, Nairobi Kisumu 350 billion shillings: Kenya 350+350 = 700 billion,
Tanzania's Chinese part = 800billion.

Enyewe kila nchi na shida zake.
wa kenya KM ngapi na wa hapa ngapi... ebu weka hapo tuone na hizo gharama ni sh. ngapi kwa kila km? mkituwekea hizi figure bila kuchambua chambua mnakuwa kama mna tudanganya mkuu... maana tunayo yasikia ni mengi na sio leo ndio mara ya kwanza kusikia...

Dodoma kigoma = Km ngapi za reli?
tabora mwanza = km ngapi za reli? usilete za mabarabara mkuu...

pia itakuwa vizuri ukiweka bayana na km za
Dar to Dodoma ni Km na ghrama za ujenzi ni sh ngapi

na
Mombasa kisumu ni Km ngapi?
 
Sina ubishi Mimi I don't care about your railway hata ikigarimu Trillion dollars.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…