China ready to avail $7.6 bln for remaining SGR

kabisa
 
Tayari SGR inakamilika kwa wakati. Nadhani next year awamu nyingine itaanza. Good movement.
 
he he
nakumbuka wakisema ati china ni wanafiki ,
walizuguka, wakajipiga kifua eti tutajenga na pesa zetu sisi ni tajiri .mtakiona , mtaisoma namba ,povu, tuta fanya hii ,tutafanya ile ,tuta ......blah blah - the usual anthem.

mda umepotea ,sahii hiyo reli ingeshafika nusu ,you better negotiate china terms and give their companies the contract
the only one willing to invest in large scale infrastructure in africa

sasa hiyo reli itakua aje , section moja AREMA design standard section ingine China class design standard ??
 
Umeanza kuingiwa na kihoro. Ninauhakika umeelewa.
Ngoja nikueleze tena. Hapa Tanzania inapata mkopo na wajenzi mpaka sasa wanaojena ni waturuki.
 
my mbumbu
 
we muache atashangaa kitakachomkuta maana tulishasemaga sn juu ya haya mambo lakini hawakomi
mimi ili nibidi kufuta kile nilicho andika maana hakukuwa na maana mimi kuandika alafu mwingine kuubeba kuwa wake...! hii pajarizimu mpaka humu ina kera...

Jamiiforum ina bidi kuwe na opption ya mwenye andiko kukubari kwanza ndipo uzi wake uwe quote tofauti na hapo ni kuchukiza tu...
 
Manake kuanzia Dom hadi mwisho wa project ndio huo mtonyo wa kichina utatumika smh, hii reli itakua nzuri lakini sera y kisafirisha mizigo mikubwa kupitia barabara yafaa wabane ili warudishe loan izo,Itawalipa zaidi kwenye mizigo 7bu passengers wanaoption nyingi za usafiri!!
 

Vija sana hawa jamaa, full mikurupuko, hawana sera au mikakati, wanaendeshana kwa matamko ya kila siku yasiyotabirika.
 
Vija sana hawa jamaa, full mikurupuko, hawana sera au mikakati, wanaendeshana kwa matamko ya kila siku yasiyotabirika.
Wewe acha kutu judge that low, huelewi lakini you quick to judge, wll. You sound jealousy.
Eti hatuna sera mikakati
 
Sijaelewa waliposema China tena wataingia kunoresha tazara wakati kwenye tovuti ya tazara mwezi wa tisa walisaini MoU na bombardier ilikuboresha tazara . Wajuzi ebu fafanueni hili jambo
 
Kabla ya kuponda, kwanza fanya utafiti kwa nini serikali ilishtuka
 
Haha, huu Uzi unafurahisha kuona wakenya wanavyo hangaika kuzuia mafuriko. Tofauti kati ya Tanzania na Kenya, wachina wanakuja kutuomba kutukopesha. Ni kama mabenki yanavyo shindana kuwakopesha wafanyabiashara wakubwa. Uhuru Kenyatta alikwenda China kubembeleza mkopo na akarudi na the worse deal imaginable (treni sio za umeme, huku ni mitungi ya changaa). Mradi wote wa Kenya hakuna tender, wakati sisi tunajenga vipande vyote kwa wakati mmoja. Wachina wameshashtuka, bila Tanzania hakuna One Belt One Road. Ndio maana wanashabulia TAZARA na wanashambulia Central Corridor.
 
Vija sana hawa jamaa, full mikurupuko, hawana sera au mikakati, wanaendeshana kwa matamko ya kila siku yasiyotabirika.
Hii ni dalili ya woga na wivu, taja nchi yoyote ile Africa ambayo imetoa $3B cash kufadhili mradi wake wowote ule,
 
How many sections have Kenya received financing so far from China to brag about?
 
Ila mkuu BAK si kila jambo kulipinga tu au kulijengea hoja kwa ajili ya tofauti za kisiasa
 
How many sections have Kenya received financing so far from China to brag about?

4 sections of the northern corridor from Mombasa to Kampala are fully secured with financing ,

http://www.businessdailyafrica.com/...an-railway-/539550-3939008-dvofkcz/index.html

even lappset sgr will recieve financing from china
kenya's infrastructure deals with china levels to the top political leadership ,included in the one belt one road china initiative






to the top levels of leadership







this is all backed up by real action on the ground
nairobi-malaba progressing on schedule

 
Wow! I truly lack words to tell GoK thank you. This will be a game changer in Kenya and the greater East African region in terms of Logistics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…