China state television declares "Will take Taiwan in early June" warns u.S. To end visits to Taiwan and adhere to the one China Policy

China state television declares "Will take Taiwan in early June" warns u.S. To end visits to Taiwan and adhere to the one China Policy

Umeongea ukweli kabisa mkuu. Mambo hayako sawa kabisa. Bill gates nae alishatangaza fase 2 ya corona ambayo itakua much worse than the previous one. Tunaweza kua na lockdown pia. Sasa ukijumlisha na vita hii inayonukia, hakuna namna nyingine ya kujiandaa zaidi kujiandaa kiroho.
Maisha yetu watanzania yanategemea utafutajiwa kila siku ili mambo yaende.
I must admit nikiangalia mbele bila Bwana Yesu na Roho Mtakatifu kunitia nguvu na moyo,sitaweza.
 
Nadhani Urusi na China wamedhamiria kubadilisha World Order.
Mkuu ingekuwa kubadilisha mfumo tu wa Dunia, binadamu wasituingize kwenye matatizo makubwa,isingekuwa shida.Hawa watu US,Russia na China lengo lao ni moja:enslavement and domination of humanity,wala hawapo tofauti,wanatuzuga tu.To me things are becoming more clearer.These entities have the same master:the NWO(a.k.a.Satan).
 
CHINA STATE TELEVISION DECLARES "WILL TAKE TAIWAN IN EARLY JUNE" AND WARNS THE US TO END ALL VISITS TO TAIWAN AND ADHERE TO THE ONE CHINA POLICY​

MAY 25, 2024

Video below shows Chinese State TV declaring today that China will reclaim Taiwan, likely in early June. It has begun preparing the Chinese public for coming war and possible political sanctions and isolation!!
According to Chinese defense ministry sources, the Chinese army will launch an attack on Taiwan in early June.
Beloe is a video of China State television from Saturday morning

WARNING TO U.S.
China also publicly warned the United States to end all visits to Taiwan and adhere to the One-China policy, or be ready to face the consequences.
No response from the U.S. or anyone else yet.
ONGOING MILITARY "EXERCISE"
Two days ago, the people of Taiwan awoke to find their island surrounded by China warships,
This morning China has completely surrounded Taiwan in all directions. China currently has over 30 ships and 40+ fighter jets active in "training." The map below shows the situation:

Taiwan Defense Forces on it's part says it will destroy the Three Gorges dams if China invades the rogue Chinese province!!
* FLASH UPDATE 10:47 AM EDT * - CHINA STATE TELEVISION DECLARES "WILL TAKE TAIWAN IN EARLY JUNE" -- WARNS U.S. . . .

MY TAKE:
Whether China will attempt to take Taiwan in early June remains to be seen and is anybody's guess.What is becoming more clearer though is that the chaos and the rumours of wars around the World have one master because they are so well co-ordinated,otherwise why should they happen at the same time?To me it seems the fearmongering is intended to scare humanity and erode it's confidence, so that it is easy to manipulate,take over and control.Humanity must prepare for any eventuality,2024-2930 will be crucial.
tAIWAN-mISSILE-lAUNCHER.jpg
Mara nyingi ndoto za hivi zinasbabishwa na makande
 
Mkuu ingekuwa kubadilisha mfumo tu wa Dunia binadamu wasituingize kwenye matatizo makubwa,isingekuwa shida.Hawa watu US,Russia na China lengo lao ni moja,wala hawapo tofauti,wanatuzuga tu.Agenda yao kwa Dunia ni moja:enslavement and domination.To me things are becoming clearer.
Hivi sio kwamba china na urusi wanashindana na new world order?pia kwan new world order ikiwepo kuna madhara gani zaidi?
 
Nilitarajia Ukraine pawe pepesi sana ila mambo yakawa sivyo.
Taiwan yeye hapigi kelele.

Kama walishindwa mzuia Nancy hadi akatua Taiwan, akalala na kuondoka sembuse kuvamia.
Taiwan sio Ukraine
Hivi huyu jamaa bado anatoaga comment....kweli nimeamini upumbavu ni kipaji
 
China kuingia kwenye vita na Taiwani litakuwa ni kosa kubwa sana, atajaribu hata alichonacho, Putin anataka kumuingiza kwenye mjenge, Ukraine imemshinda, kamvimbisha kichwa Iran matokeo yake Iran amejikwa kwenye jiwe la pembeni lililoachwa na waashi.( Israel)
Tumia akili vita ya taiwani kwa china nikama kulamba ice cream 🍦tu kumbuka taiwani ni kisiwa tofauti na ukrain...kinacho ifanya china isichukue uamuzi wa vita ni kimoja tu ni kwamba china anaitaka taiwani ikiwa na uchumi na tec kama ilivyo ....vita vikitokea itageuka magofu ...faida za kiuchumi zitakuwa kubwa kama china akifanikiwa kuichukua kama ilivyo pasipo vita ...njia ambazo china anazitumia kuipata taiwani kama ilivyo mojawapo ni kupandikiza watu wanao iunga mkono china kwenye siasa za taiwan ni kama marekani anavyo fanya huko taiwani naye anapandikiza watu wanao ichukia china serikalini na kwenye siasa ...hivi ndivyo ilivyo fanyika ukrain pia ...nato walifanikiwa kuteka siasa za ukrain na kupandikiza watu wao akina Zelensky na wale watu walio kuwa upande wa mrussi kusabalatishwa
 
Mwaka huu wa 2025 unataka kuwa mbaya sana na kumbukumbu za zitawekwa vizazi hadi vizazi.

Itakuwa vita mbaya na sijui nini kinatengenezwa maana Putin kaenda Chini wiki iliyopita kama sijakosea na ataenda N.Korea mwezi June.

U.S.A asiingilie maana huku Africa sijui tutaishi vipi
USA always akili kubwa mkuu, bases zake kila mahali alikuwa hachez ngoma yaan kila adui wa USA alifanikiwa jiran yake kumtengeneza kuwa adui, N.Korea jua S.Korea yuko pale kumzibiti na msaasa wa west, Russia kashatengenezewa, Sweden, Ukrain, Lativia etc woote wanaomzunguka kasoro belarusi tuu, china ndio asithubutu kabisa manake hata uchumi hana, pale Japan ni adui namba moja na alishamchapa china two times, ufilipino namba 2, Taiwan ndio miguu ya USA hamna namna china it will take taiwan overnight yatakuwa yale yale ya russian na kiev huku watu wakiwa washington wanakunywa whysky na kuuza silaha
 
Mtaiabudu US mpaka lini jamani,the US is no more.It is almost nearing a third World country status.
 
Mtaiabudu US mpaka lini jamani,the US is no more.It is almost nearing a third World country status.
Hivi mkuu ukipigwa Ban watakuwa wamekuonea? Super power gani aliwahi kuanguka mpaka awe na uchumi wa kuiringanisha na Tanzania au Uganda?
 
USA always akili kubwa mkuu, bases zake kila mahali alikuwa hachez ngoma yaan kila adui wa USA alifanikiwa jiran yake kumtengeneza kuwa adui, N.Korea jua S.Korea yuko pale kumzibiti na msaasa wa west, Russia kashatengenezewa, Sweden, Ukrain, Lativia etc woote wanaomzunguka kasoro belarusi tuu, china ndio asithubutu kabisa manake hata uchumi hana, pale Japan ni adui namba moja na alishamchapa china two times, ufilipino namba 2, Taiwan ndio miguu ya USA hamna namna china it will take taiwan overnight yatakuwa yale yale ya russian na kiev huku watu wakiwa washington wanakunywa whysky na kuuza silaha
Read the following article,mawazo kwamba the US ni akili kubwa yata-varnish.

Hivi mkuu ukipigwa Ban watakuwa wamekuonea? Super power gani aliwahi kuanguka mpaka awe na uchumi wa kuiringanisha na Tanzania au Uganda?
Umeshawahi kuishi US au unaisikia tu.Sisi ambao tumeishi US kwa muda tunaijua kwa undani sana.The US is only for a few:the 1%, not for everybody.US wametumia "soft power" sana kama Holywood kujipaisha,lakini haipo kama inavyodaiwa kwenye media.The truth is mmedanganywa.

Angalia clip ifuatayo uone ukweli wa Marekani,usidanywe.Infact in some places the situation is even worse than this.Hali hiyo hatuioni hata Tanzania,and mind you overall the situation is becoming worse.

View: https://youtu.be/n5Z4VwDlkkQ?si=9-r8cwZwXCzKjJpB

Also watch the following clip.

View: https://youtu.be/zRZ1LrT3nas?si=sY98GYJTEONJ6dnq
 
Nilitarajia Ukraine pawe pepesi sana ila mambo yakawa sivyo.
Taiwan yeye hapigi kelele.

Kama walishindwa mzuia Nancy hadi akatua Taiwan, akalala na kuondoka sembuse kuvamia.
Taiwan sio Ukraine
Kwamba Taiwan, kijikisiwa kama Zanzibar ndo iwe na nguvu kuliko Ukraine; Taifa kubwa barani Ulaya kwa Eneo na lenye jeshi kubwa kuliko Taifa lolote Ulaya Mashariki! Kwa kweli Ugali wa mahindi siyo chakula kizuri kwa binadamu.
 
Uchumi wa China unazitegemea sana Marekani na Ulaya hasa kwenye upande wa biashara, tofauti na ilivyo urusi......hivyo kujiingiza kwenye vita na Taiwan kunaweza kuwaweka kwenye hali ngumu sana kiuchumi...
Nchi zitakazo suffer ni nchi hizi za Afrika ,nchi masikini zisizozalisha bidhaa na bahati mbaya zinategemea misaada toka mataifa ya nje + cheap goods toka China ,na ikumbukwe China Ndio global factory .
Ndio mzalishaji mkubwa wa bidhaa nyingi dunia nzima .
Hadi madawa , mitambo na bidhaa za kila aina ambazo ni neccesary kwa human survival .

Mi nawashangaa sana watu ambao hawaangalii hii issue Kwa mapana yake na consequences zake .
Huyo China Ndio top supplier WA madawa na bidhaa nyingine pale Marekani na nchi za ulaya .
Unafikiri hii vita wakiingia ulingoni itakuwa rahisi hivyo ?
China Ndio top supplier hadi WA hardwares zinazotumika kutengeneza mitambo ya kijeshi ya Marekani na nchi nyingine za magharibi .

Unapoona kampuni kama Boieng , Lockheed Martin nk ,hawa wazalishaji wa vifaa vya kivita , hiyo mitambo inazalishwa kwa kutumia subcontractors ambao wanatengeneza maelfu ya components ambazo mwisho wa siku ndio zinakuwa assembled na kutengeneza bidhaa husika na asilimia 70 ni Chinese subcontractors .
Hapo hapo mjue kuwa kuna semiconductor chips ambazo zinatumika kutengenezea kila kifaa cha mawasiliano na electronic devices na kila mitambo unayoijua .

TSMC hii kampuni ya Taiwan Ndio ndio top supplier WA hizo semiconductor chips na so wakiingia vitani tutegemeee kuhadimika kwa bidhaa na mitambo ya kila aina kuanzia simu ,magari nk
Hamna gari wala kifaa chochote cha electronics au appliance ya nyumbani ,hospitalini nk itatengenezwa .
Maana kila kifaa kinatengewa kwa kutumia hizo semiconductor electronics chips .

So atakayeumia si China ni ulimwengu mzima
 
China ni kweli anajiandaa na vita , na wameanza kuuza treasury bonds za US government anazomiliki kuanzia huu mwaka uanze, na ikumbukwe China ni moja ya mmiliki mkubwa wa hizo hisa za hatifungani za hazina ya serikali ya Marekani .
Kiufupi China Ndio mkopeshaji mkubwa kwa serikali ya Marekani , ukitoa Japan .
Na ni kiasi cha dollar billion 800+.
Na uchumi wa Marekani ni uchumi uliajaa madeni ,na hii itaondoa confidence ya mataifa mengine kuhusu thamani ya hizo bonds za US treasury ,kitu ambacho kinaweza leta dhahama ya mataifaebhine pia kuanza kuuza na zao pia kwa kasi kubwa na hivyo kucollapse kabisa uchumi wa Marekani .

Na ikumbukwe ni kitu ambacho hajawahi kukifanya .
Sasa jiulizeni why now ?
Kwanini anauza hisa za hatifungani za serikali ya Marekani ?
 
Nchi zitakazo suffer ni nchi hizi za Afrika ,nchi masikini zisizozalisha bidhaa na bahati mbaya zinategemea misaada toka mataifa ya nje + cheap goods toka China ,na ikumbukwe China Ndio global factory .
Ndio mzalishaji mkubwa wa bidhaa nyingi dunia nzima .
Hadi madawa , mitambo na bidhaa za kila aina ambazo ni neccesary kwa human survival .

Mi nawashangaa sana watu ambao hawaangalii hii issue Kwa mapana yake na consequences zake .
Huyo China Ndio top supplier WA madawa na bidhaa nyingine pale Marekani na nchi za ulaya .
Unafikiri hii vita wakiingia ulingoni itakuwa rahisi hivyo ?
China Ndio top supplier hadi WA hardwares zinazotumika kutengeneza mitambo ya kijeshi ya Marekani na nchi nyingine za magharibi .

Unapoona kampuni kama Boieng , Lockheed Martin nk ,hawa wazalishaji wa vifaa vya kivita , hiyo mitambo inazalishwa kwa kutumia subcontractors ambao wanatengeneza maelfu ya components ambazo mwisho wa siku ndio zinakuwa assembled na kutengeneza bidhaa husika na asilimia 70 ni Chinese subcontractors .
Hapo hapo mjue kuwa kuna semiconductor chips ambazo zinatumika kutengenezea kila kifaa cha mawasiliano na electronic devices na kila mitambo unayoijua .

TSMC hii kampuni ya Taiwan Ndio ndio top supplier WA hizo semiconductor chips na so wakiingia vitani tutegemeee kuhadimika kwa bidhaa na mitambo ya kila aina kuanzia simu ,magari nk
Hamna gari wala kifaa chochote cha electronics au appliance ya nyumbani ,hospitalini nk itatengenezwa .
Maana kila kifaa kinatengewa kwa kutumia hizo semiconductor electronics chips .

So atakayeumia si China ni ulimwengu mzima
Kimbukiko sikubaliani na mtazamo wako,ni lazima tubadilishe mindset zetu kabisa.Wazungu hawa wamebadilisha our mindsets kiasi kwamba we think,talk and do what they want.We have to say no to their "pottery."

Let me put things straight.Kwani kabla ya kuja Wazungu tuli-ishije.Kwanza hatukujua even if they exist,but we lived comfortably.Tulikuwa na vitu vyetu na maisha yetu.Infact wao ndio walioharibu maisha yetu kabisa,they have brought us misery and death.They have enslaved us,and now they want to kill us all,it's God who is preventing that from happening.

Katika hali ya kushangaza,you people believe that the misery,enslavement and slaughter they have brought us is okay,and want the situation to continue.

Nakumbuka Nyerere aliiweka hali hii vizuri sana,alisema hivi,"itafika wakati watu wataambiwa ni watumwa na watakataa kuwa wao ni watumwa wata-prefer kubaki utumwani." Yes,this is the time,hamkubali kuwa ninyi ni watumwa,mnataka mbaki kuwa watumwa,and you rejoice in it.Hivi mnajua kwa ninyi kukubaliana na mambo yao, you are giving them more chance to murder and maim?Very sad indeed.
 
Back
Top Bottom