China, Urusi, Korea Kaskazini na Hamas walaani mauaji ya Ayatollah Khamenei

China, Urusi, Korea Kaskazini na Hamas walaani mauaji ya Ayatollah Khamenei

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amelaani kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, akikitaja kitendo hicho kuwa ni “mauaji ya kinyama na ya kijanja” yanayokiuka maadili yote ya kibinadamu na sheria za kimataifa.

Putin alitoa salamu za pole kwa Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian.

Aidha, Korea Kaskazini imesema mashambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya Iran ni 'Uvamizi haramu' na unaokiuka uhuru wa taifa.

Pia, China pia imelaani vikali mauaji ya Khamenei huku ikitoa wito tena wa kusitishwa kwa vitendo vya kijeshi.

Wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo (Beijing) imesema kupitia taarifa yake kuwa mauaji hayo ni "ukiukwaji mkubwa wa mamlaka na usalama wa Iran, ni kukanyaga malengo na misingi ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa pamoja na kanuni za msingi za mahusiano ya kimataifa."

"China inapinga kwa dhati na kulaani vikali jambo hili," iliongeza taarifa hiyo, ikitaka kusitishwa mara moja kwa operesheni za kijeshi.

============

Putin calls Khamenei killing ‘cynical murder’​

We have reaction by Vladimir Putin, the president of Russia, about the killing of Khamenei.

Russia’s TASS news agency said Putin had expressed his condolences to Pezeshkian over the killing of Iran’s supreme leader.

It also quoted him as saying Khamenei’s killing was a cynical murder in violation of all standards of human morality and international law.

North Korea: North Korea’s foreign ministry spokesperson said in a statement on Sunday that the Israeli attacks on Iran and the US military operation constitute “illegal aggression” as well as a violation of national sovereignty, according to state media Korean Central News Agency.

1772364060536.png


Source: Al Jazeera & CNN​
 
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amelaani kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, akikitaja kitendo hicho kuwa ni “mauaji ya kinyama na ya kijanja” yanayokiuka maadili yote ya kibinadamu na sheria za kimataifa.
Hivi huyo Putin alilaani yale mauaji ya kikatili ya halaiki, MO29 yaliyotekelezwa na Samuya akishirikiana na Kikwete?
 
TRump kafanya uanze kuwa na akili hongera.
KWenye hili Putin ni mnafikn kafurahia sbb hapendi uislam.
Hata mchina akitoa pole/laani mfurusheni yeye huwatreat waislam walioko China kama wagonjwa wa akili(Yuko sahih lakini)
Mchina mshenzi. Unaambiwa lile jimbo lenye waislamu wengi China marufuku kufunga lazima ule mchana. Na usiku kuna doria maalum inapita kila nyumba kuchunguza kama mnakula usiku. Ikifika saa mbili usiku wote mnatakiwa kulala.
 
Amelaani? Kwahiyo katoa laana! Itawashika Trump na Benja?
 
Putin kawaingiza wenzake mkenge na mifumo yake ya ulinzi

Ila hawa jamaa zetu sijui akili zao zikoke n
 
Back
Top Bottom