China: Virusi vingine (Hanta Virus) vyaua mmoja, wengine 32 wapimwa kuona kama wana maambukizi

China: Virusi vingine (Hanta Virus) vyaua mmoja, wengine 32 wapimwa kuona kama wana maambukizi

Kusini ya Tanzania Chakula kipendwacho na watu wa mpaka kinaitwa samaki mchanga kwa wali siku ya sikukuu

 
Mijikenda pwani ya Kaskazini mwa Kenya hii kitu wacha tu, ukitaka kumkirimu mgeni kwa taadhima zote basi kitoweo hiki mgeni akiondoka atasimulia ukarimu na heshima aliyopewa na wenyeji wake
 
Mwe! Hii 2020 ya mavirus tutatoboa kweli..?
 
Naona haya magonjwa yanaenda sambamba na Maendeleo kwenye hizi nchi zetu. Wakati wenzetu wanamalizana na Corona sisi ndo tunaipokea. Na sasa wako na hiyo nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli.
 
Screenshot_20200324-165331.png
Screenshot_20200324-165321.png
 
Hivi hawa vijana wetu waliosoma sana na kuishia kutuchukulia nyumba ndogo zetu huku uswahili na wao hawezi kukitengeneza kidude kikawamalize hawa chinese maana naona sasa wapo kwenye mashindano ya kutumaliza
 
Mtu mmoja amefariki dunia kutokana na Virusi vinavyofahamika kama Hanta Virus baada ya vipimo kuthibitisha amepata maambukizi. Mtu huyo alifariki ndani ya basi katika Jimbo la Yonnan na abiria 32 waliokuwepo katika basi hilo wamepimwa ili kuona kama wameathirika.

Hanta Virus husambazwa na Panya na sio rahisi kwa binadamu kuambukizana. Kwa mujibu wa Kituo cha kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Marekani (CDC), mtu anaweza kupata maambukizi pale anaposhika macho, pua au mdomo wake baada ya kushika haja, mkojo au mate wa Panya,

Kifo cha mtu huyo kimezua taharuki katika mitandao mbalimbali ya kijamii baada ya watu kufananisha virusi hivyo na mlipuko unaoitesa dunia kwa sasa, Corona Virus.

=======

A man has died in Yunnan province of China after testing positive to Hantavirus. The man died while on his way back to Shandong Province for work on a chartered bus, China’s Global Times reports.

Hantavirus immediately became a trend on social media following the report with people panicking that it was another COVID-19 ready to cause a new pandemic. However, unlike coronavirus, hantavirus is not airborne.

Humans who contract the hantavirus usually come into contact with rodents that carry the virus. “Rodent infestation in and around the home remains the primary risk for hantavirus exposure. Even healthy individuals are at risk for HPS infection if exposed to the virus,” Centre for Disease Control and Prevention said in its website.

Although HPS can’t be passed on from person to person, it can be contracted if someone touches their eyes, nose or mouth after touching rodent droppings, urine, or nesting materials, states Centers for Disease Control and Prevention fact sheet.

Source: Vanguard

=====
A person from China's Yunnan Province, who tested positive for hantavirus, died on a chartered bus on Monday, according to a report by the Global Times. The report also added that 32 other passengers of the bus were also tested.

The news, which was reported on Tuesday, has gone viral on social media amid the scare of coronavirus pandemic and thousands of people are tweeting about it but not all of it is true.

Hantavirus is a previously known family of viruses and is spread mainly by rodents (rats) and can cause varied disease syndromes in people but the cases of person-to-person transmission are rare, according to the United States Centers for Disease Control and Prevention (CDC).

"In Chile and Argentina, rare cases of person-to-person transmission have occurred among close contacts of a person who was ill with a type of hantavirus called Andes virus," says CDC.

In most cases, hantavirus is spread when virus-containing particles from rodent urine, droppings, or saliva are stirred into the air, according to CDC. This means there are very low chances that this virus will spread further since person-to-person transmission is rare.

The coronavirus outbreak has fuelled a lot of fake news due to the huge number of people it has affected. From fake DIY detection tests to herbal remedies for curing the novel virus, social media platforms are being flooded with misinformation but it's important to stay informed and rely on credible sources of information at this time.

More than 377,000 people have been infected by the coronavirus across the world and 16,500 have died due to novel coronavirus and hundreds of cities have imposed strict lockdowns to try to contain the outbreak.

Source: Devdiscourse
na panya si kitoweo kama kawaida ?

mtanyooka tu
 
Back
Top Bottom