China: Virusi vingine (Hanta Virus) vyaua mmoja, wengine 32 wapimwa kuona kama wana maambukizi

Kusini ya Tanzania Chakula kipendwacho na watu wa mpaka kinaitwa samaki mchanga kwa wali siku ya sikukuu

 
Mijikenda pwani ya Kaskazini mwa Kenya hii kitu wacha tu, ukitaka kumkirimu mgeni kwa taadhima zote basi kitoweo hiki mgeni akiondoka atasimulia ukarimu na heshima aliyopewa na wenyeji wake
 
Mwe! Hii 2020 ya mavirus tutatoboa kweli..?
 
Naona haya magonjwa yanaenda sambamba na Maendeleo kwenye hizi nchi zetu. Wakati wenzetu wanamalizana na Corona sisi ndo tunaipokea. Na sasa wako na hiyo nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli.
 
Hivi hawa vijana wetu waliosoma sana na kuishia kutuchukulia nyumba ndogo zetu huku uswahili na wao hawezi kukitengeneza kidude kikawamalize hawa chinese maana naona sasa wapo kwenye mashindano ya kutumaliza
 
na panya si kitoweo kama kawaida ?

mtanyooka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…