China: Virusi vingine (Hanta Virus) vyaua mmoja, wengine 32 wapimwa kuona kama wana maambukizi

Haya Machina yakiendelea hivi yataizamisha dunia....
 
Hivi virusi vina nini na sisi walimwengu?
 
Sasa hii Hanta Virus waafrika tukae chonjo, Hairembi kabisa kwa Ngozi nyeusi kama bibie Corona.
 
Hanta virus siyo ugonjwa mgeni.

And njia zakupambana nao zinafahamika...
 
Mods akili zao zinawatosha wao wananikera sana na hii tabia yao ya kuunga nyuzi..
Ndo maana huu mtandao umedumaa kwa upuuzi wa baadhi mods.
Halafu ukifuatilia hii staili yao ya kuunga nyuzi utaona yule mwenye jina maarufu ndo anapewa uzi wakati wengine nyuzi zenu zinabaki comments.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona tunavaa max... asa huyu kanta naona tutavaa vyuma!
 
Niwasalimu tu habari wote!! Twende kwenye mada!! Katika mtandao wa EATV na east Africa radio wameliport huko china kuna mtu mmoja! Amekutwa na virus hivyo! Je? Hivyo hiyo ni habari ya kweli ama
 
Mpaka umeiona huko means ina ukweli ndani yake.
Hanta virus inasemekana ni virus vinavyotoka kwa panya I.e kwenye mate au mkojo wa panya. ( kwa hisia zangu nahisi hayo panya sio kama wa huku kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…