Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 2,748 Reaction score 5,112 Dec 22, 2024 #41 Reuben Challe said: Usikasirike mkuu, mbona comment yangu haikuwa na povu? Taiwan GDP ni $33234 Halafu hizo nyingine unazotaja sio nchi. Japan ni nchi, hapa tunafananisha na China, sio miji ya China. Click to expand... Nani amekasirika ? Unaufahamu mfumo wa utawala wa China ? Maana hili ni somo lengine sasa unataka kunipeleka.
Reuben Challe said: Usikasirike mkuu, mbona comment yangu haikuwa na povu? Taiwan GDP ni $33234 Halafu hizo nyingine unazotaja sio nchi. Japan ni nchi, hapa tunafananisha na China, sio miji ya China. Click to expand... Nani amekasirika ? Unaufahamu mfumo wa utawala wa China ? Maana hili ni somo lengine sasa unataka kunipeleka.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Dec 22, 2024 #42 Nje ya mada kidogo, niliona kwenye documentary moja kuwa mashkaji yanafanywisha kazi mno na rate ya suicide iko kubwa sana huko Japan.
Nje ya mada kidogo, niliona kwenye documentary moja kuwa mashkaji yanafanywisha kazi mno na rate ya suicide iko kubwa sana huko Japan.
Reuben Challe JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 2,940 Reaction score 5,511 Dec 22, 2024 #43 Mi mi said: Nani amekasirika ? Unaufahamu mfumo wa utawala wa China ? Maana hili ni somo lengine sasa unataka kunipeleka. Click to expand... Vyovyote vile unataka kunionesha kuwa unaijua China. Hongera mkuu kwa kuijua China vizuri. Ila Japan ni nchi tajiri kuliko China
Mi mi said: Nani amekasirika ? Unaufahamu mfumo wa utawala wa China ? Maana hili ni somo lengine sasa unataka kunipeleka. Click to expand... Vyovyote vile unataka kunionesha kuwa unaijua China. Hongera mkuu kwa kuijua China vizuri. Ila Japan ni nchi tajiri kuliko China