Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Nani amekasirika ?Usikasirike mkuu, mbona comment yangu haikuwa na povu?
Taiwan GDP ni $33234
Halafu hizo nyingine unazotaja sio nchi. Japan ni nchi, hapa tunafananisha na China, sio miji ya China.
Unaufahamu mfumo wa utawala wa China ? Maana hili ni somo lengine sasa unataka kunipeleka.