Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #21
Katika siku za hivi karibuni, BBC imeripoti kuhusu "Made in China 2025," na kuisifu kuwa "Ushindi wa mfumo wa Kichina."
Pia wameandika kuhusu rekodi ya dunia ya box office ya filamu ya animation ya Kichina "Ne Zha 2"
Na pia BBC iliripoti kwamba matumizi ya China ya nishati ya kijani yameboresha sana ubora wa hewa. BBC sasa ni pro China media?
Kwa hakika, si BBC pekee, bali pia vyombo vingine vya habari vya Magharibi kama vile DW hivi karibuni vimebadilisha habari zao za kuripoti kuhusu China.
Pia kumekuwa na upungufu mkubwa wa idadi ya "like" kwa machapisho yaliyo negative dhidi ya China kwenye YouTube na X.
Kukata kwa Musk ufadhili wa serikali ya kwa vyombo vya habari vya Magharibi kumesababisha upungufu wa habari za kuipinga China ulimwenguni kote