China vs USA: Infrastructure, Technology and Development

Naona umeachana na Wikipedia umehamia Youtube. Siko hapa kuongeza views kwa Youtubers tafadhali. From now onwards, nitajibu hoja tu.

Asante!
Hiyo video ya YouTube mzee. Ruksa kuweka hizo video za infrastructure za USA tulinganishe.
 
Nahitimisha kihistoria:
Wakati Wajapani wanazindua treni ya mwendo kasi (HSR) kwa mara ya kwanza duniani mwaka 1964, Marekani ilikuwa tayari imeshaanza kutumia ndege katika sekta ya usafiri wa haraka miaka takribani 6 kabla (1958).

Wakati Wajapani wanaufurahia mradi wa HSR na kabla hata ya mradi huo kuzinduliwa nchini Marekani, tayari ulishakosa vigezo kama nyenzo ya haraka ya usafiri kibiashara nchini Marekani.

In short, mradi wa kuongeza HSR network nchini Marekani kwa sasa hauna manufaa kwa Marekani.

Hii hapa chini ni article nzuri sana inayoeleza hiki ninachokisema kihistoria zaidi kuhusiana na suala la HSR nchini Marekani. Article ni kutoka katika taasisi ya utafiti (think tank) ya Cato Institute:

Nyongeza ya kile ambacho nimeshakisema awali:
Pamoja na kwamba nilisema kuwa High Speed Railway network inahitaji population density kubwa na muunganiko wa karibu zaidi wa miji mikubwa ili kuleta economic benefits, tafiti zinaonesha kuwa bado hata hilo halitoshi kuendesha mradi wa HSR wenye manufaa makubwa kwa uchumi wa nchi.

China pamoja na kuwa ina vigezo ambavyo nimevitaja, bado inapata hasara ya mabilioni ya yuan kila mwaka kutokana na gharama za uendeshaji wa mradi wake wa reli ya kasi (HSR).


Shukrani kwa wote!
 
Mzee hapahatuhitaji Historia. Tunataka uweke infrastructures
 

Sijaona paliposema foreign companies wamehusika
 




 
Mzee China kuna mamilion ya skyscrapers. Unaona tu skyscrapers tu wili tu unakuja kubweka. Kwanini huko USA wasijenga?
Ila jamaa akili huna kwaio unataka marekan wabomoe majengo yao kisa kujenga majengo mapya kila yanapobuniwa, uende Vatican pale eti ubomoe majengo yao mazur yamiaka zaid yamiambili ili wajenge kama burj halifa! Hata huko China miaka 100 ujayo hayo majengo yatakua outdated nahawata bomoa kisa bongo tumejenga new fashion... All in all miji ya ulaya bado inavutia mnooo
 
Umekurupuka
 
China pamoja na kuwa ina vigezo ambavyo nimevitaja, bado inapata hasara ya mabilioni ya yuan kila mwaka kutokana na gharama za uendeshaji wa mradi wake wa reli ya kasi (HSR).
Lengo namba 1 la mashirika ya umma China ni kutoa huduma sio kutengeneza faida hiyo ni communist country sio capitalist country. Mambo ya kutengeneza faida ni malengo ya baadae.

Sio ajabu China kupeleka project za billions of yuan kwenye eneo lenye population ndogo mfano ni hizo HSR, Highways, Bridges
 
Kwani hapa mleta mada ameleta topic inayo taka nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…