View attachment 3323743
π Hakika teknolojia inakwenda Kasi sana si unakumbuka ilikua unaenda hospital na dokta anakuagiza umletee sampuli ya mkojo kwa ajili ya uchunguzi kujua kinachokusumbua ni nini !!!
View attachment 3323744
βοΈ Lakini nchini china mwaka 2024 waliweza kuleta mfumo wa kushangaza kwenye Vyoo ambavyo ni vya jumuia watu watakua na uwezo wa kujua Afya zao kupitia mfumo wa aja ndogo wanayoitoa kwenye icho choo.
View attachment 3323745
π‘ Vyoo hivyo ambavyo utalipia Dola $3 kuweza kuruhusu Mashine iweze kutoa majibu ya choo chako wakati ambao umekitumia mfano mkojo ambapo itaweza kukuonyesha ikiwa una maambukizi yoyote.
View attachment 3323746
β‘ Kuanzia magonjwa ya kisukari, PH, mkojo mchafu au unamaambukizi yoyote, njia hii ni nzuri sana kwani itakusaidia kukupa taarifa mbalimbali kwa urahisi kuhusu Afya yako.