Tanzania takwimu za watu tu ambao bado wanajisaidia porini ni balaa hata vyoo vya shimo tu bado hawana wakati huo wenzetu wanainvent teknolojia ya kupata majibu hapo hapo wakati wa kujisaidia, Tanzania bado wanaishia kupulizwa na lile joto kali la shimo huku wakiwa wanajisaidia