Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is so sad for the continentMuseveni ana mikwara sana, halafu anakuja kwetu kutujengea shule, sijui ametuonaje?
Uongo wa mchana.Kwa kipindi kirefu nchi nyingi barani Afrika zimekuwa zikiikumbatia uchina kama rafiki aside na masharti I napokea swala la maendeleo.
Linalotokea Uganda, Kenya, Zambia na Angola nadhani itakuwa funzo kubwa
Imekanushwa kwamba Uganda haidaiwi na wachina?!Uongo wa mchana.
Hii imekanushwa, nafikiri mabeberu are have a field day at dis information.
Kumekanushwa nini? Zambia wamechukua airport na shirika la umeme. Gambia wamechukua bandari. Uganda imewekwa wazi hata kabla ya hili tangazo, kuwa wwtachukua airport. Kenya, mazungumzo yanaendelea, wanataka bandari ya Mombasa.Uongo wa mchana.
Hii imekanushwa, nafikiri mabeberu are have a field day at dis information.
Imekanushwa kwamba Uganda haidaiwi na wachina?!
Kumekanushwa nini? Zambia wamechukua airport na shirika la umeme. Gambia wamechukua bandari. Uganda imewekwa wazi hata kabla ya hili tangazo, kuwa wwtachukua airport. Kenya, mazungumzo yanaendelea, wanataka bandari ya Mombasa.
mbona aliwanyima bandari ya bagamoyo ambayo mama ako na kaka ake wanaipigania?Yule wa kwetu na yeye alikua anatupeleka huku huku maana aliwaamina sana hawa wahuni wa kichina