Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Sababu ilikuwa kulinda maslahi yao ya kibiashara maana hata meli zao hupita sana eneo hiloMbona walishirikiana kupambana na Wasomali waliokuwa wanateka meli? Hoja yako mfu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ilikuwa kulinda maslahi yao ya kibiashara maana hata meli zao hupita sana eneo hiloMbona walishirikiana kupambana na Wasomali waliokuwa wanateka meli? Hoja yako mfu.
Ngoma ngumu huko Gaza.
Video ya mwanajeshi wa Ukraine akipigana na jeshi la Israel katika Ukanda wa Gaza inasambaa kwenye mitandao ya kijamii.
View: https://x.com/sprinter99800/status/1737809415766442102?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Umahiri wake wa kulenga shabaha na kukata vichwa vya watu anapokuwa kwenye uwanja wa vita, ukambadilisha jina lake kwa kupewa jina la Mbwa Mwitu Mwekundu (Red Wolf)Wako mataifa mengi tu wanamsaidia srael kwenye vita na kuspy.
United Arab Emirates alipeleka maspy eti madaktari wamenda wasaidia watu Gaza, yeye na Jordan na Egypt.
Kuna wanajeshi wa America. UK, Canada, Spain, Italy, France, Australia, Greece, Canada, Ukraine, Germany, pia wako waTanzania, Wakenya, Waethopia yani Israel kakusanya kilavmataifa na bado hajaimaliza Hamasi na Hataimaliza anaota ndoto tu.
Pia wako Warabu wa kipalestine wakristo na waislam na Madourouzi na baadhi ya nchi kama Morocco
Kwakweli Hamasi ni Wanaume wacheni mchezo.
Nchi za kiarabu majeshi yao ni kuwalinda Israel na viongozi wao tu.
Yemen Al Hoot Peke yake ndio wanaume sio wale wa South Yemen
Afu America hawezi kuwachezea wa Yemen, ataishia kubweka tu.
Unjiunga kupambana na YEMENI, nilitegemea muungano huu wangejiunga kumpiga RUSIA anaeionea UKREIN.Hata wasipojiunga, Western zimejiunga so magaidi hayawezi tena kuteka meli *****!.
Mbona ya Russia imepita Jana na hawajandondosha?. Wajaribu waone.Kwa iyo yeye mizigo yake atapitishia wapi? Ngoja tumuone. Kama atapitisha mizigo yake wanaidondosha Ile iwe fundisho kwake. China ni masikini Jeuri aishi kutapatapa
Mbona walishirikiana kupambana na maharamia wa kisomali?China sio mshirika wa Marekani ila mshindani hivyo hilo lilitegemewa.
Yeye meli zake za kibiashara zitapita bahari ya peke yake !? Au Houthi watakagua kwanza kabla ya kushambulia!?Jeshi la navy la China (PLA Navy) ni moja ya jeshi bora duniani, pale South China Sea hakuna wa kumbabaisha sio Japan, South Korea wala Philippines.
Kwanza China ana kambi ya kijeshi Djibouti ambapo ni mlango wa kuingia Red Sea
Na hapo wana navy destroyers, Marines, UAVs na MPAs
China haijaamua tu kuingilia huu mgogoro.
Umesahau mbona China walisaidiana na Marekani na mataifa mengine kulinda meli za mizigo kipindi kile cha Gulf of Aden crisis dhidi ya magaidi ya Kisomali? Kwa nini sasa hivi hawataki?
Hizi mambo za geopolitical wengi bado uelewa ni mdogo
Jana wameshambulia meli mbili za Israel wakaomba msaada kwa meli za China hawasaidie China akakataa.
Meli za COSCO za shirika la China la usafirishaji wa majini zinapitaYeye meli zake za kibiashara zitapita bahari ya peke yake !? Au Houthi watakagua kwanza kabla ya kushambulia!?
SawaHizi mambo zimekuzidi uelewa
China ipambane na hali yake huko east asia philipine, korea, japan zinamkodolea macho akija huku red sea kule kwake atalimwaga so bora atulie.
Sasahivi sio kuteka tena, ni kuzizamishaHata wasipojiunga, Western zimejiunga so magaidi hayawezi tena kuteka meli *****!.