anayedhibiti watu ni Mungu, wewe mwanadamu ukijifanya unazibiti wenzako wanaoleta hoja za maana na wewe huna hoja, utaishia kuwa kama gadafi tu, alilisha watu na kutoa pesa akifikiri wanampenda, ila kwa kitendo cha kuwanyima uhuru siku walipoungana alikamatwa kwenye mtaro wa mavi. jueni hilo kuanzia sasa, ukitaka kujua hayo yapo mioyoni mwa watanganyika wengi, angalieni namna wanavyofurahia tundu lisu anachokisema, manake kuna siku wakipat anafasi ya kuingia mtaaani pakitokea nafasi wataingia kwa wingi sana. dawa yake ni kutoa majibu ya uwazi na yanayojibu hoja, sio kuleta ubabe. unajifanya mbabe kwanini? nani umemmiliki nchi hii? au unamiliki wanadamu ndugu?