Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Ishu ya China na Taiwan unaifahamu lakini au wajiandikia tu ili kukidhi matamanio yako kuhusu Zanzibar ?Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.
China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Kivipi !?Machadema ni mbumbumbu
Wanakinyakua kimabavu si kisiwa kutwambia kwenda kisiwani kwao twende kwa passport ilihali wao wanakuja bure na kumiliki ardhi kama sisi tu huku. Ilibidi huu muungano kama tanganyika ilivyowemezwa na zenj ingemewzwa.Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.
China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Exactly..Jifunze kujibu hoja fala wewe. Tunataka muungano wenye nchi moja na rais mmoja na serikali moja, Zanzibar iwe mkoa. Hatutaki muungano wa kitapeli kama huu
Ahsante mkuu. Haya majamaa hayataki kujibu hoja kabisa.Exactly..
Mfano, USA ni muungano wa nchi almost 50, lakini hawana marais 50. Kila moja inaitwa State na kiongozi wake ni Governor (kama RC kwa Tz).
Rais wa nchi nzima ni mmoja tu.
Mfumo wa muungano wa Tanganyika na Znz ni haueleweki
Upo sahihi MkuuInaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.
China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Sidhani kama upo sahii kuhusu TaiwanKisiwa cha Pemba kiko karibu zaidi na Mombasa !
Kwahiyo Kenya nayo iinyakue Pemba ??!!
China anaamini Taiwan ni sehemu ya China kama ilivyokuwa HongKong !
Haihusiani na usalama wa China !!
Udhibiti mzuri ni ule wa kutumia akili (hoja) na siyo nguvu.anayedhibiti watu ni Mungu, wewe mwanadamu ukijifanya unazibiti wenzako wanaoleta hoja za maana na wewe huna hoja, utaishia kuwa kama gadafi tu, alilisha watu na kutoa pesa akifikiri wanampenda, ila kwa kitendo cha kuwanyima uhuru siku walipoungana alikamatwa kwenye mtaro wa mavi. jueni hilo kuanzia sasa, ukitaka kujua hayo yapo mioyoni mwa watanganyika wengi, angalieni namna wanavyofurahia tundu lisu anachokisema, manake kuna siku wakipat anafasi ya kuingia mtaaani pakitokea nafasi wataingia kwa wingi sana. dawa yake ni kutoa majibu ya uwazi na yanayojibu hoja, sio kuleta ubabe. unajifanya mbabe kwanini? nani umemmiliki nchi hii? au unamiliki wanadamu ndugu?
Upo sahihi mkuuExactly..
Mfano, USA ni muungano wa nchi almost 50, lakini hawana marais 50. Kila moja inaitwa State na kiongozi wake ni Governor (kama RC kwa Tz).
Rais wa nchi nzima ni mmoja tu.
Mfumo wa muungano wa Tanganyika na Znz ni haueleweki
kuna watu wanaamini siasa zinatakiwa kuwa za kimabavu, kwasababu kwenye familia zao wamelelewa kimabavu, na dunia wanayoifahamu na kuikubali ni ya mabavu, bila kujua mabavu hayajawahi kuwa na mwisho mwema.Udhibiti mzuri ni ule wa kutumia akili (hoja) na siyo nguvu.
Lisu ana hoja na anatakiwa ajibiwe kwa hoja na marekebisho kimantiki.
Kubishana naye kijuha haina maana yoyote.
Siasa lazima ziwe za hoja zenye mantiki na siyo kubwabwaja tu au kufuata mkumbo kama nyumbu.
Nakubaliana nawe mkuuUdhibiti mzuri ni ule wa kutumia akili (hoja) na siyo nguvu.
Lisu ana hoja na anatakiwa ajibiwe kwa hoja na marekebisho kimantiki.
Kubishana naye kijuha haina maana yoyote.
Siasa lazima ziwe za hoja zenye mantiki na siyo kubwabwaja tu au kufuata mkumbo kama nyumbu.
Mbona unaishi enzi za zamani kabisa.Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.
China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana inajua pale ndo naval base ya kuishambulia china.
Nani alikufundisha haya ?Sidhani kama upo sahii kuhusu Taiwan
Sababu kuu ya China kuigombea Taiwan na Honkong ni usalama. fanya utafiti kabla haujabisha
Mleta mada ni kilaza tu,imagine, mtu mzima anaamini adui atakuja akae zanzibar ashambulia tz, kama ni ni kushambulia,atashindwa nini kukaa habarini, au kutua rwanda, au nchi zingine za karibu? ungesema unaogopa kisiwa kitabadilika kuwa somalia kwa magaidi hapo ningekuelewa.
lissu ni mwanasiasa mdomokaji tu yeye apate chakusema atasema,kiongozi hapimwi kwenye maneno matendo Yule mpe mike ubwabwaje na ndio maana ataweza sana kukusaidia kwenye sheria,ila utendaji sasa..Lisu ni Mdudu kizazi OG