China: Xi Jinping achaguliwa tena kuongoza Mhula wa tatu

Na yeye ameshaingia kwenye historia ya viongozi ving'ang'anizi wa madaraka duniani kama Pierre Nkurunzinza, Robert Mugabe, Vladmir Putin, nk.

Na bila shaka na mwisho wake pia hautakuwa mzuri. Ni suala tu la muda.
Angela Markel Ujerumani alikaa miaka mingapi??
 
Mfumo wa uongozi wa Ujerumani, ni tofauti kabisa. Hao demokrasia nfiyo imetawala. Hivyo hata angekaa miaka 100, bado huwezi kulinganisha na tawala za nchi za kiimla kama China, Korea Kaskazini, Urusi, nk.
 
Na yeye ameshaingia kwenye historia ya viongozi ving'ang'anizi wa madaraka duniani kama Pierre Nkurunzinza, Robert Mugabe, Vladmir Putin, nk.

Na bila shaka na mwisho wake pia hautakuwa mzuri. Ni suala tu la muda.
Angel Merker mbona hujamuweka?
 
Mfumo wa uongozi wa Ujerumani, ni tofauti kabisa. Hao demokrasia nfiyo imetawala. Hivyo hata angekaa miaka 100, bado huwezi kulinganisha na tawala za nchi za kiimla kama China, Korea Kaskazini, Urusi, nk.
Kwaiyo Merker sio king,ang'anisi wa madaraka aliekaa tems 4 ila aliekaa temes 3 ndiye king'ang'anizi wa madraka?
 
Dictatorship
Unafkiri ni dictator uchwara kwamba yupo hapo anaiba hela alaf wananchi wako na dhiki? Hata akae miaka 100 watu wanapiga maendeleo na hawana kabisa kufkiria umaskini, watu hata habari hawana
 
Habar mbaYa Sana kwa NATO,USA na vibaraka wake[emoji4]
 
Marais wawili waliotangulia waliheshim two terms limit!
Huyu wa sasa kabadilli katiba .....
 
Back
Top Bottom