China yaagiza Benki zake kuu kuisitisha ununuzi wa Dola

China yaagiza Benki zake kuu kuisitisha ununuzi wa Dola

Us anaitumia dollar dominance kama fimbo. Kama kuna alternatives za dola itamfanya awe na adabu.
Na hii ndo inaharakisha anguko la hiyo dollar mfano ikitokea china kama mzalishaji number 1 akaamua kuamchana na dollar na kuagiza vitu kutoka china kwa sarafu yake maana yake mahitaji ya dollar yatakuwa hakuna
 
Tanzania hawajafikia hatua ya kuikataza BOT na banks za ndani kutonunua dollar..
Sisi hatuwezi, utapigwa sanctions..
Nchi nyingi zimeanza kuona US sio wa kumuamini, wengi wanaanza kujichukuli njia zao..
Ukishakataza malipo kwa dola ndani ya nchi tayari unapunguza uhitaji na mzunguko wake ndani ya nchi.
 
Nchi za EU sasa hivi akili zimewarudi wanatafuta njia ya kupunguza kumtegemea US.
 
Safi sana China we ndio tajiri sio huyo mtengeneza dollars wacha azile sasa hizo dollars
US ANASIMAMIA MASLAHI UKIMVHEKEA CHINA KAMA MNAVYOMCHEKEA TZ LENGO NI KUUA MANUFACTURING YA ULIMWENGU KISHA NYIE MUANZE KUAGIZA MPAKA KIBERITI THAT IS WHAT TRUMP IS STANDING IN FEW MONTH TRUMP KALETA FDI NEAR TO 6 TRILLIONS NANI ANAWEZA KUFANYA HIVYO LOOK AT THE TRADE DEFICIT CHINA EXPORT TO US 470 Billion USD WHILE US EXPORT 140B SASA WEWE AFRICA NDO MWOGA KUSIMAMA TRUMP IS REALLY PRESIDENT FOR HIS COUNTRY
 
In the long run wananchi wake wataumia na atakosa support yao, na akija mwingine anapiga u-turn kurudi tuliko kuwa wakaanze upya.
 
Ulaya walianzisha Hadi pesa yao EURO vipi waliweza kuishusha dollar ?
Sidhani kama walianzisha kuishusha Dollar ya Mnyamwezi. Bali kupunguza gharama za kufanya biashara kati ya wao kwa wao. Mambo ya kubadili badili fedha yanapoteza fedha kutokana na ada za kubadilisha.
 
Na hii ndo inaharakisha anguko la hiyo dollar mfano ikitokea china kama mzalishaji number 1 akaamua kuamchana na dollar na kuagiza vitu kutoka china kwa sarafu yake maana yake mahitaji ya dollar yatakuwa hakuna
Hii inasemwa kirahisi sana kuliko kiutekelezaji.
 
Sidhani kama walianzisha kuishusha Dollar ya Mnyamwezi. Bali kupunguza gharama za kufanya biashara kati ya wao kwa wao. Mambo ya kubadili badili fedha yanapoteza fedha kutokana na ada za kubadilisha.
Screenshot_20230221-101049.png
Screenshot_20230221-101022.png
 
Kuna namna ya kuikwepa dollar kweli?
Ipo tena very soon itahappen kumbuka dunia inaenda kwenye kuwa na sarafu moja, kiongozi mmoja, dini moja,
Kwa hiyo lazima US ianguke kiuchumi so na dola lazima ipoteze hadhi ya kuwa sarafu ya dunia na ndipo dollar itakapokosa mvuto na mataifa yataikwepa na hii itatoa nafasi ya kuibuka kwa sarafu za kidigitali then mwisho kutakuwa na sarafu moja tu dunia nzima.
Iko hivi very soon usd itacollapse na ithamani yake itashuka kwa 50% au zaidi ya hapo.
Hii vita ya kugombania masoko ya bidhaa ni mwanzo wa kuelekea kwenye kutimia kwa lile neno la Mungu kuwa kama huna chapa ya 666 hutoweza kuuza wala kununua yaani hutoweza kupata soko.
Asomaye na afahamu.
 
Ukishakataza malipo kwa dola ndani ya nchi tayari unapunguza uhitaji na mzunguko wake ndani ya nchi.
Dollar inatumika hasa kwenye biashara ya kimataifa, malipo ya ndani hasa ni kwa nchi ambazo zina fedha dhaifu kama Zimbabwe huko. Kwa hiyo huwezi idhuru dollar kwa kuizuia kutumika ndani.
 
Dollar inatumika hasa kwenye biashara ya kimataifa, malipo ya ndani hasa ni kwa nchi ambazo zina fedha dhaifu kama Zimbabwe huko. Kwa hiyo huwezi idhuru dollar kwa kuizuia kutumika ndani.
Tanzania dollar inatumika kwenye kila kitu kuanzia kodi za maofisi, shule, nyumba hadi mauziano ya huduma mbali mbali kama internet. kwahiyo mtu analazimika kutafuta dola ili akalipie hizo huduma ndani ya nchi hivyo kunakuwa na mahitaji ya dola yasiyo ya lazima na kuifanya upande bei " Law of demand and supply " - kuondoa hiyo demand feki inabidi ukataze na hii itasaidia kuipa shillingi nguvu. Nenda tu hapo south africa bureau de change ziko airport baada ya hapo no mwendo wa rand tu sio kama Tanzania bureau de change kila kona.
 
Back
Top Bottom