Africa kupiga hatua, tuombe vita ya tatu ya dunia itokee (Ya Nuclear itapendeza) kati ya USA na China
Hizo Global powers na washirika wake watwangane
Bila kuihusisha Africa after War
Civilization itaanza upya, ila this time tukiwa on the top
Juzi tu, Tanzania na China zilikua level moja ya uchumi, now China (Nchi moja) ina jeuri ya kutoa msaada Africa nzima
Serious?