China yaanza mazoezi ya kijeshi kuzunguka Taiwan ili kutoa onyo kwa Marekani

China yaanza mazoezi ya kijeshi kuzunguka Taiwan ili kutoa onyo kwa Marekani

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
China imekiri kuwa imeanza kufanya mazoezi kuizunguka anga ya Taiwan ikiwa ni mkakati wao kutoa onyo kwa Marekani ambao wametoa kauli ya kuonesha wameanzisha mchakato wa kuilinda Taiwan.

China imesema kuwa inachofanya Marekani ni unafiki na ni kazi bure kusema jambo moja na kufanya lingine kuhusu suala la Taiwan.

Daily Mail
 
Nouma ingine hii inakuja
 
Marekani anakutana na wanaume Sasa, uchumi wa Marekani hauwezi kuhimili vita na adui aliyekamilika.
Kwani wao watahimili? Vita ni gharama kubwa na kupigana na USA uwe sawa kiuchumi la sivyo utaanguka. Taiwan sio Ukraine. Wana tech na silaha za class A+.
Uchumi wenyewe wa china wanataka kuingia vitani, wataporomoka vibaya. Marekani mjanja. Ana washirika wenye misuli
 
Akili zinatofautina kwa mtu na mtu, kwani China ikivamia Taiwan...maumivu ya watu wa Chicago na Dodoma zinatofautinaje?
WaTanzania tunakuwa na shida gani? Wala watu hawaoni kuwa China ndiyo anaumia zaidi kwa kupigana na jirani yake Taiwan au USA ndiyo Taiwan.
 
Jidanganyeni mchina ni mzalendo sana awezi kukubali ujinga wa visiwa vyake vya taiwani ni swala la muda tu lazima taiwani itarudi china [emoji630]
Huku mwaka wa ngapi tangu aanze hizo hekaheka zake ?

Unajua mgogoro wake na Hong Kong umeishia wap ?
 
Back
Top Bottom