China yaanza mazoezi ya kijeshi kuzunguka Taiwan ili kutoa onyo kwa Marekani

Akili zinatofautina kwa mtu na mtu, kwani China ikivamia Taiwan...maumivu ya watu wa Chicago na Dodoma zinatofautinaje?
WaTanzania tunakuwa na shida gani? Wala watu hawaoni kuwa China ndiyo anaumia zaidi kwa kupigana na jirani yake Taiwan au USA ndiyo Taiwan.
Watu wengi wana ushabiki uchwara
 
China imekiri kuwa imeanza kufanya mazoezi kuizunguka anga ya Taiwan ikiwa ni mkakati wao kutoa onyo kwa Marekani ambao wametoa kauli ya kuonesha wameanzisha mchakato wa kuilinda Taiwan.

China imesema kuwa inachofanya Marekani ni unafiki na ni kazi bure kusema jambo moja na kufanya lingine kuhusu suala la Taiwan.

Daily Mail
It was 'a high time' that China gave 'independence' to Taiwan or elect its president from Taiwan to show that Taiwan is really a part of China.
 
Ivi mnajua 90% ya vitu unavotumia vinatoka China? Je akiingia vitani mnafikiri hali itakuwaje? Mnaoshabikia vita ni watoto pamoja na watumishi wa serikali lakini wafanyabiashara kuanzia machinga hadi wale wakubwa hii vita inaweza kuwa na matokeo mabay sana.
 
Tena Sana Vita ikitokea dunia itapata matokeo hasi Mara Kumi zaidi kuliko yaliotokea Kati ya urusi na Ukraine
Ivi mnajua 90% ya vitu unavotumia vinatoka China? Je akiingia vitani mnafikiri hali itakuwaje? Mnaoshabikia vita ni watoto pamoja na watumishi wa serikali lakini wafanyabiashara kuanzia machinga hadi wale wakubwa hii vita inaweza kuwa na matokeo mabay sana.
 
Ivi mnajua 90% ya vitu unavotumia vinatoka China? Je akiingia vitani mnafikiri hali itakuwaje? Mnaoshabikia vita ni watoto pamoja na watumishi wa serikali lakini wafanyabiashara kuanzia machinga hadi wale wakubwa hii vita inaweza kuwa na matokeo mabay sana.
Haujakosea wengi wanaoshabikia Vita ni watoto pamoja na watumishi wa serikali...Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia vita
 
Kwani wao watahimili? Vita ni gharama kubwa na kupigana na USA uwe sawa kiuchumi la sivyo utaanguka. Taiwan sio Ukraine. Wana tech na silaha za class A+.
Uchumi wenyewe wa china wanataka kuingia vitani, wataporomoka vibaya. Marekani mjanja. Ana washirika wenye misuli
US waliahidi kulinda Ukraine Kama hapo Taiwan, mwisho wa Siku ni kutuma siraha na kudemka makwao kwa milio ya siraha za wanaume.
Ndugu mashoga huwa hawatabiliki.
 
Ivi mnajua 90% ya vitu unavotumia vinatoka China? Je akiingia vitani mnafikiri hali itakuwaje? Mnaoshabikia vita ni watoto pamoja na watumishi wa serikali lakini wafanyabiashara kuanzia machinga hadi wale wakubwa hii vita inaweza kuwa na matokeo mabay sana.
Kariakoo ita collapse
 
Kwani wao watahimili? Vita ni gharama kubwa na kupigana na USA uwe sawa kiuchumi la sivyo utaanguka. Taiwan sio Ukraine. Wana tech na silaha za class A+.
Uchumi wenyewe wa china wanataka kuingia vitani, wataporomoka vibaya. Marekani mjanja. Ana washirika wenye misuli
Kama ananguvu hivyo,kwanini alindwe na mkuu wa mashoga?
 
Taiwan soon itachafuka. Viongozi wake Kama wanajua yatakayowapata wasishupaze shingo yao. Wamtafute Xi mapema kabla hajabonyeza kitufe Cha vita
...ushaona kuna dalili za bwana Zelensky zinataka kutokea kwenye Taifa hilo.
 
Back
Top Bottom