JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Nouma ingine hii inakujaChina imekiri kuwa imeanza kufanya mazoezi kuizunguka anga ya Taiwan ikiwa ni mkakati wao kutoa onyo kwa Marekani ambao wametoa kauli ya kuonesha wameanzisha mchakato wa kuilinda Taiwan.
China imesema kuwa inachofanya Marekani ni unafiki na ni kazi bure kusema jambo moja na kufanya lingine kuhusu suala la Taiwan.
Daily Mail
🙌🙌🙌Sasa ndio mutajua china an fake au original
Kwani wao watahimili? Vita ni gharama kubwa na kupigana na USA uwe sawa kiuchumi la sivyo utaanguka. Taiwan sio Ukraine. Wana tech na silaha za class A+.Marekani anakutana na wanaume Sasa, uchumi wa Marekani hauwezi kuhimili vita na adui aliyekamilika.
Hakuna vita yoyote itakayopiganwa hapo.Taiwan soon itachafuka. Viongozi wake Kama wanajua yatakayowapata wasishupaze shingo yao. Wamtafute Xi mapema kabla hajabonyeza kitufe Cha vita
Wew mtanzania mbali ya kuwa shabiki maandazi wa machafuko umejiaandaaje kukabiliana na changamoto kama hizo ?Marekani anakutana na wanaume Sasa, uchumi wa Marekani hauwezi kuhimili vita na adui aliyekamilika.
Hakuna vita yoyote itakayopiganwa hapo.
Jidanganyeni mchina ni mzalendo sana awezi kukubali ujinga wa visiwa vyake vya taiwani ni swala la muda tu lazima taiwani itarudi china [emoji630]Uko sahihi mkuu.
Jidanganyeni mchina ni mzalendo sana awezi kukubali ujinga wa visiwa vyake vya taiwani ni swala la muda tu lazima taiwani itarudi china [emoji630]
Huku mwaka wa ngapi tangu aanze hizo hekaheka zake ?Jidanganyeni mchina ni mzalendo sana awezi kukubali ujinga wa visiwa vyake vya taiwani ni swala la muda tu lazima taiwani itarudi china [emoji630]