Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Watu wengi wana ushabiki uchwaraAkili zinatofautina kwa mtu na mtu, kwani China ikivamia Taiwan...maumivu ya watu wa Chicago na Dodoma zinatofautinaje?
WaTanzania tunakuwa na shida gani? Wala watu hawaoni kuwa China ndiyo anaumia zaidi kwa kupigana na jirani yake Taiwan au USA ndiyo Taiwan.
Wamuulize the comedian amejikutaje kikaangoni 🚶Taiwan soon itachafuka. Viongozi wake Kama wanajua yatakayowapata wasishupaze shingo yao. Wamtafute Xi mapema kabla hajabonyeza kitufe Cha vita
It was 'a high time' that China gave 'independence' to Taiwan or elect its president from Taiwan to show that Taiwan is really a part of China.China imekiri kuwa imeanza kufanya mazoezi kuizunguka anga ya Taiwan ikiwa ni mkakati wao kutoa onyo kwa Marekani ambao wametoa kauli ya kuonesha wameanzisha mchakato wa kuilinda Taiwan.
China imesema kuwa inachofanya Marekani ni unafiki na ni kazi bure kusema jambo moja na kufanya lingine kuhusu suala la Taiwan.
Daily Mail
China Hana mgogoro wowote na Hongkong toka iliporudishwa china1997Huku mwaka wa ngapi tangu aanze hizo hekaheka zake ?
Unajua mgogoro wake na Hong Kong umeishia wap ?
Ivi mnajua 90% ya vitu unavotumia vinatoka China? Je akiingia vitani mnafikiri hali itakuwaje? Mnaoshabikia vita ni watoto pamoja na watumishi wa serikali lakini wafanyabiashara kuanzia machinga hadi wale wakubwa hii vita inaweza kuwa na matokeo mabay sana.
Unasema china sio threat to U.S.A?🤔Mchina siyo threat kwa USA na ubavu wa kumvamia Taiwan china hana na atojalibu
China mainland [PRC] na China Taiwan [ROC] Wana kutokuelewana tokea 1949 katika Vita vya wenyewe kwa wenyeweHuku mwaka wa ngapi tangu aanze hizo hekaheka zake ?
Unajua mgogoro wake na Hong Kong umeishia wap ?
Haujakosea wengi wanaoshabikia Vita ni watoto pamoja na watumishi wa serikali...Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia vitaIvi mnajua 90% ya vitu unavotumia vinatoka China? Je akiingia vitani mnafikiri hali itakuwaje? Mnaoshabikia vita ni watoto pamoja na watumishi wa serikali lakini wafanyabiashara kuanzia machinga hadi wale wakubwa hii vita inaweza kuwa na matokeo mabay sana.
US waliahidi kulinda Ukraine Kama hapo Taiwan, mwisho wa Siku ni kutuma siraha na kudemka makwao kwa milio ya siraha za wanaume.Kwani wao watahimili? Vita ni gharama kubwa na kupigana na USA uwe sawa kiuchumi la sivyo utaanguka. Taiwan sio Ukraine. Wana tech na silaha za class A+.
Uchumi wenyewe wa china wanataka kuingia vitani, wataporomoka vibaya. Marekani mjanja. Ana washirika wenye misuli
Kariakoo ita collapseIvi mnajua 90% ya vitu unavotumia vinatoka China? Je akiingia vitani mnafikiri hali itakuwaje? Mnaoshabikia vita ni watoto pamoja na watumishi wa serikali lakini wafanyabiashara kuanzia machinga hadi wale wakubwa hii vita inaweza kuwa na matokeo mabay sana.
Umeisha ww mkuuSafi sana.
Marekani kwisha habari zake.
Waache washabikie wanadhani hiyo ni Ukraine na urusi...wataikimbia dar nakwambia.Kariakoo ita ccollapse
Hawajui china inaihudumia dunia yote[mabara yote] kwa bidhaa za viwandani kwa asilimia 90%Waache washabikie wanadhani hiyo ni Ukraine na urusi...wataikimbia dar nakwambia.
Kama ananguvu hivyo,kwanini alindwe na mkuu wa mashoga?Kwani wao watahimili? Vita ni gharama kubwa na kupigana na USA uwe sawa kiuchumi la sivyo utaanguka. Taiwan sio Ukraine. Wana tech na silaha za class A+.
Uchumi wenyewe wa china wanataka kuingia vitani, wataporomoka vibaya. Marekani mjanja. Ana washirika wenye misuli
...ushaona kuna dalili za bwana Zelensky zinataka kutokea kwenye Taifa hilo.Taiwan soon itachafuka. Viongozi wake Kama wanajua yatakayowapata wasishupaze shingo yao. Wamtafute Xi mapema kabla hajabonyeza kitufe Cha vita