China hakuna cha Mungu mzeeKikubwa wasikengeuke waanze kusema MUNGU HAYUPO!
Halafu hawa jamaa mungu wao sindio budha au?Inasaidia nini kusema mungu yupo?
Kweli... this days wapo wanao mwamini MUNGU! sema mao the dong aliwaminya sana!China hakuna cha Mungu mzee
Injili imeshafika huko au bado mkuu tujue mapema jinsi ya kutoa msaada!Huku kwetu Malawi tunatarajia kuanzisha hizo sherehe kwa wanganga wa kienyeji, wachawi na wauaji
Hao wengine?Watu wachache tu China ndio wanaamini Budha (kama asilimia nne, 4%) tu.
Duh! mbona jamaa wako very intelligance sana!!Hawana dini, wengi wao Atheists na Agonistics, wengine wanaamini philosophy mbalimbali tu kama Taoism, Confucianism n.k