China yafanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa L-SAR kwa ajili ya kufuatilia majanga ya asili

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Saa 7:44 Februari 27, China ilifanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa satelaiti wa L-SAR kwa kutumia roketi ya Long March 4C kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Jiuquan.

Pamoja na kazi nyingine, satelaiti hiyo itatumiwa hasa kufuatilia mazingira ya kijiolojia, maporomoko ya ardhi, na matetemeko ya ardhi.
 
Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…