China yafanikiwa kurusha satelaiti ya usimamizi wa kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani

China yafanikiwa kurusha satelaiti ya usimamizi wa kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
China imefanikiwa kurusha satelaiti ya usimamizi wa kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani saa tano na dakika nane jana asubuhi kwa saa za Beijing. Satelaiti hiyo itatumika kusimamia kiwango cha kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani, kusimamia na kutathimini miradi ya taifa ya ikolojia, na kuunga mkono utafiti na shughuli mbalimbali kwenye sekta za hifadhi ya mazingira, upimaji na uchoraji wa ramani, usimamizi wa hali ya hewa, kilimo na upunguzaji wa maafa.

VCG111394937805.jpg
 
Back
Top Bottom