China yafuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu wa biashara za mtandaoni

China yafuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu wa biashara za mtandaoni

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
5000.jpg

Huang Wei

China imefuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo.

Huang Wei, anayejulikana kwa jina maarufu la Viya, ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo ambayo imekua kwa kasi tangu janga la coronavirus lilipoanza.

Akiwa na zaidi ya wafuasi milioni 110 kwenye mitandao ya kijamii, Viya aliripotiwa kuuza bidhaa zenye thamani ya jumla ya yuan 8.5bn (£1bn) katika jioni moja tu wakati wa tamasha la ununuzi la Siku ya Wasio Katika Mahusiano (Singles’ Day) tarehe 11 Novemba.

Mamlaka ya Kodi katika mkoa wa mashariki wa Zhejiang walisema kwamba Viya "alikwepa yuan milioni 643 za ushuru" kati ya 2019 na 2020 kwa "kuficha mapato yake binafsi.

Mamlaka ilitangaza adhabu ya yuan 1.3bn - ambayo ni kubwa zaidi na ya aina yake katika ukandamizaji wa Beijing dhidi ya watu mashuhuri.

Jana Jumanne, Desemba 20, akaunti za Viya katika majukwaa ya kijamii zilikuwa zimetoweka

=====

China has deleted social media accounts of an influencer known as the country’s “livestreaming queen” and stripped her of a title that promotes honesty on the internet, a day after she was ordered to pay a record $200m (£150m) fine for tax evasion.

Huang Wei, known by her popular username Viya, is one of China’s most high-profile livestreamers in an e-commerce sector that has grown rapidly since the coronavirus pandemic took hold last year.

With over 110 million followers on social media, Viya reportedly sold products worth a total of 8.5bn yuan (£1bn) in just one evening during China’s recent Singles’ Day shopping festival on 11 November.

But on Monday, tax authorities in the eastern province of Zhejiang said that Viya “evaded 643m yuan of taxes” between 2019 and 2020 by “concealing personal income and [making] false declarations of income.”.

They announced the 1.3bn yuan penalty – the biggest of its kind in Beijing’s sweeping crackdown on celebrities.

The decision was reported all over China’s media. It also became one of the most-searched topics on Weibo on Monday. Viya responded by saying that she would accept the decision from the tax authorities.

“I am very remorseful and apologise to the public,” she wrote.

But on Tuesday, Viya’s social media accounts vanished from major online platforms, with her livestreaming page on the Alibaba-owned Taobao shopping site rendered inaccessible.

Searches for her account on the Twitter-like Weibo and Douyin – China’s version of TikTok – returned no results.

In the meantime, authorities said that they have also cancelled a title that promotes good behaviour on the internet following the scandal. The title, internet honesty and credibility ambassador, was given to Viya in July in the Chinese province of Hunan.

Crackdowns on tax evasion and perceived immoral behaviour in the entertainment industry have been ongoing for a number of years. In 2018, actor Fan Bingbing was given a $129m tax bill. And more recently, Chinese actor Zheng Shuang was hit with a $46m fine for tax evasion, in a drive by the regulators to crack down on entertainers’ “sky-high pay”.

In recent months, the authorities have extended their scrutiny to include online influencers. Last month, the government fined two other live streamers $14m.

It is not the first time the “livestreaming queen” hit the headlines. In June, Viya was fined 530,000 yuan for breaching advertising laws, after some fans accused her of selling counterfeit products.

Her massive penalty this week came amidst the launch of President Xi Jinping’s “common prosperity” drive. Chinese analysts say the campaign aims to reduce economic inequality, partly by reining in excessive incomes in the entertainment and technology sectors.

Source: The Guardian
 
Sasa ukifunga chanzo chake cha mapato utapataje kodi? Hili ni sehemu ya bifu la China na infuencers.
watalipa wenzake yeye hakuuona umuhimu wakodi toka mwanzo hata ukifungua chazo chake hatalipa
sio bifu huyo ke anahujumu maendela makini ya UCHINA

Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom