The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Mwaka 2018 China ilitangaza kuyabomoa majengo yote ya kidini yenye usanifu wa tamaduni nyingine na kuyajenga kwa kufuata majengo ya Tamaduni za Kichina.
Katika waraka huo wa mpango mkakati wa miaka 5, China ilisema itabomoa majengo mengi ya kidini ya mtindo wa Kiarabu ama mtindo mwingine usio wa Kichina na kujenga mapya ila kwa idadi ndogo kuliko yaliyobomolewa, yaani demolish more, build less.
Leo China imehitimisha kwa kubomoa na kujenga upya msikiti mkubwa zaidi na wa zamani zaidi nchini China kutoka mtindo wa Kiarabu kwenda wa Kichina.
View: https://x.com/guardian/status/1794266391840797112?s=19
China hawana huruma na masuala ya Dini kwani ni kinyume na taratibu za Kichina.