China yahitimisha kubadilisha majengo ya misikiti kutoka mtindo wa Kiarabu na kufuata mtindo wa Kichina

You are so stupid, kusoma hujui ama,,,,,????
 
Naona siku hizi Wachina wanabadilika, zamani ukiwa Muislam unakamatwa na unapimwa akili kabla ya kutesa au kuuliwa moja kwa moja kwani walikuwa wanaamini Uislam ni dini ya mashetani.
Acha habari za uongo, Uislam upo China maelfu ya miaka tena wenda kabla hata mataifa mengi ya waafrika hayaja letewa na waarabu
 
Acha habari za uongo, Uislam upo China maelfu ya miaka tena wenda kabla hata mataifa mengi ya waafrika hayaja letewa na waarabu
Hivi kwanini Waislam hawapendi ukweli? Ukiwaambia tu ukweli kuhusu dini yao wanakuja juu na kutaka kujiua ili tu usiongee ukweli embao hawataki kuusikia? Uislam uko China upo kwenye mkoa unaopakana na nchi za Kiislam, mpaka 2022 Yaani hivi majuzi tu huko China waislam wa Kichina walikuwa wanahisiwa kuwa ni watu wenye matatizo ya kiakili na kuuliwa au kufanyiwa mambo ya hajabu tu kwa sababu ya kuonekana kuwa ni wehu katika jamii ya Kichina.


Persecution of Uyghurs in China:​

The Chinese government is committing a series of ongoing human rights abuses against Uyghurs and other ethnic and religious minorities in Xinjiangthat is often characterized as persecution or as genocide. Beginning in 2014, the Chinese government, under the administration of Chinese Communist Party (CCP) General Secretary Xi Jinping, incarcerated more than an estimated one million Turkic Muslims without any legal process in internment camps. Operations from 2016 to 2021 were led by Xinjiang CCP Secretary Chen Quanguo.[2] It is the largest-scale detention of ethnic and religious minorities since World War II.[3][4] The Chinese government began to wind down the camps in 2019. Amnesty International states that detainees have been increasingly transferred to the formal penal system.

In addition to the arbitrary detention of Uyghurs in state-sponsored camps, government policies have included forced labor,[5][6] suppression of Uyghur religious practices,[7] political indoctrination,[8] forced sterilization,[9] forced contraception,[10][11] and forced abortion.[12][13] Experts estimate that, since 2017, some sixteen thousand mosques have been razed or damaged,[2] and hundreds of thousands of children have been forcibly separated from their parents and sent to boarding schools.[14][15] Chinese government statistics reported that from 2015 to 2018, birth rates in the mostly Uyghur regions of Hotan and Kashgar fell by more than 60%.[9] In the same period, the birth rate of the whole country decreased by 9.69%.[16] Chinese authorities acknowledged that birth rates dropped by almost a third in 2018 in Xinjiang, but denied reports of forced sterilization and genocide.[17] Birth rates in Xinjiang fell a further 24% in 2019, compared to a nationwide decrease of 4.2%.[9]

These actions have been described as the forced assimilation of Xinjiang, or as an ethnocide or cultural genocide,[18][19] or as genocide. Those accusing China of genocide point to intentional acts committed by the Chinese government that they say run afoul of Article II of the Genocide Convention,[20][21][22] which prohibits "acts committed with intent to destroy, in whole or in part," a "racial or religious group" including "causing serious bodily or mental harm to members of the group" and "measures intended to prevent births within the group".[23]

Source: Wikipedia
 
Acha kuandika vitu usivyo fahamu hakuna waislam wanao amishwa China kama wangetaka kuwaamisha wangefanya hivyo toka Tang dynasty na Uyghurs sio waislam pekee China na waislam hawapo Xinjiang pekee China.

Hilo la Ughurs umecopy to huko Wikipedia bila hata kujua nini hasa.

Na sina hakika hata Tang dynasty unaijua na imekuwapo China toka lini ?

Kwa akili zako unafikiri Uislam China umeingia 2022 ?!.

Pia mimi sio muislam acha kunipachika dini zisizo nihusu
 
Mkuu unabishana na mtu aliyesoma? Haya lete hoja zako za madrasa tuelimishane, Mdogo Mdogo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…