Kwani kuna tatizo,mbona USA anapeleka gbu na usd kila siku kwa wale wazungu walowezi!?Tukio lisilo la kawaida limetokea leo huko Beirut, Lebanon, wakati ndege ya usafirishaji ya jeshi la China - Xi'an Y-20A mali ya Jeshi la Anga la People's Liberation Army (PLAAF) - ilitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Rafic Hariri. Ndege hiyo ilikuwa imewasili kutoka Abu Dhabi, ambako ilikaa kwa takriban saa mbili kabla ya kuendelea hadi Beirut. Baada ya kukaa ardhini kwa muda huko Lebanoni, ndege hiyo iliondoka, ikipitia tena Bahari ya Mediterania kuelekea Misri. Kuna habari China inataka kujiingiza Lebanon kiaina!!!
View attachment 3319762
Acha kulia lia China inayo haki kwenda popote muimu iwe imepewa RuksaTukio lisilo la kawaida limetokea leo huko Beirut, Lebanon, wakati ndege ya usafirishaji ya jeshi la China - Xi'an Y-20A mali ya Jeshi la Anga la People's Liberation Army (PLAAF) - ilitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Rafic Hariri. Ndege hiyo ilikuwa imewasili kutoka Abu Dhabi, ambako ilikaa kwa takriban saa mbili kabla ya kuendelea hadi Beirut. Baada ya kukaa ardhini kwa muda huko Lebanoni, ndege hiyo iliondoka, ikipitia tena Bahari ya Mediterania kuelekea Misri. Kuna habari China inataka kujiingiza Lebanon kiaina!!!
View attachment 3319762
Kidume mpaka kipewe!!?Umepanic sana utawaita majina yote lakini baki ukijua Israel ni Kidume huko mashariki ya kati hadi ghuba ya uajemi!!!