China yaikabidhi Zimbabwe 'zawadi' ya jengo la Bunge

China yaikabidhi Zimbabwe 'zawadi' ya jengo la Bunge

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1669370697660.png

1669370710086.png


1669370723091.png


Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesifu uhusiano "bora" na kati ya nchi yake na Uchina alipotoa kwa mara ya kwanza hotuba kwa Taifa katika jengo jipya la Bunge lenye thamani ya mamilioni ya dola ambao China imelitoa kwa taifa hilo kama Zawadi

China ilifadhili na kujenga jengo kubwa la Bunge lenye orofa sita katika Mlima Hampden lenye thamani ya dola milioni 200, takriban kilomita 18 (maili 11) kutoka Mji Mkuu wa Harare, ikiashiria ushawishi wake unaokua.

=======================

The address, which also served to officially open the last session of the current parliament before elections next year, marks the move from the colonial-era Victorian-style parliament building in central Harare. Zimbabwe says it plans to establish a new “smart” capital city in Mt. Hampden where government offices will be located, away from the congested Harare.

In his speech, Mnangagwa described the mountaintop chamber that sits on 3.3 hectares (8 acres) of land as “majestic.” He said the building is a “testimony of the strategic and comprehensive partnership and excellent fraternal relations” between Zimbabwe and China. The government says Wednesday’s event did not mark the official opening or handover of the building, which would be done on a yet-to-be-announced date.

The countries’ links date back to the 1960s, when China helped train and supply guerrilla fighters in the fight against white minority rule. The country, however, retained close relations with Britain and other Western countries after independence in 1980.

Since 2003, Zimbabwe has looked to China, and also Russia, for friendship and assistance after falling out with Western countries that imposed sanctions following allegations of human rights abuses and vote-rigging perpetrated by then-President Robert Mugabe, who lost power in 2017 and died in 2019.

China is also massively involved in building and financing big-budget infrastructure projects in Zimbabwe that include revamping major airports. A Chinese company built the National Defense College in Harare, which opened in 2014 and was financed with an interest-free $98 million loan from China. Further Chinese involvement spans almost every sector of the Zimbabwean economy — from energy to mining and agriculture

However, unlike his predecessor Mugabe, Mnangagwa has sought to thaw icy relations with the West through an engagement drive that includes applying to rejoin the Commonwealth, a club of mainly former British colonies that Mugabe left in 2003.

Calling Zimbabwe, a “friend to all and an enemy to none,” Mnangagwa called for “unconditional” and “urgent” lifting of Western-imposed sanctions and welcomed an invitation to attend the U.S.-Africa Summit next month. The U.S previously did not invite Zimbabwe to the summit during Mugabe’s time.

AP
 
... anajua kweli kucheza na watunga sera na wafanya maamuzi!
Zamani nilipokuwa nasoma nilikuwa mfuasi wa Karl marx ,niliaamini Adam smith Ni mwizi tu mnyonyaji

Ila baadaye nikagundua Bora ubebari wa Western countries, kuliko unyonyaji wa kijamaa ,ambao viongozi Ni mabebari makatili ambao wanavyonya wananchi wao Kama watumwa tu, kila kitu useme ndio tu
 
View attachment 2427193
Bunge la donor country VS mabunge ya 3rd world countries ambazo zina shida kinoma, maji, afya, elimu, kipato bado ni shida.
Ndio maana waheshimiwa wetu wanasinzia maana ni too comfortable.
Hawana muda wa kuremba na kushangaashangaa kama sisi, sisi ushamba na umwinyi umetutawala sana
 
Afrika kazi kubwa ni kuomba na kupokea tu
 
Zamani nilipokuwa nasoma nilikuwa mfuasi wa Karl marx ,niliaamini Adam smith Ni mwizi tu mnyonyaji

Ila baadaye nikagundua Bora ubebari wa Western countries, kuliko unyonyaji wa kijamaa ,ambao viongozi Ni mabebari makatili ambao wanavyonya wananchi wao Kama watumwa tu, kila kitu useme ndio tu
... tena tulihubiriwa kweli uzuri wa ujamaa vs ubepari. Wakaibuka wanazuoni pande zote za dunia kuhubiri uzuri wa ujamaa. Vitabu kwa maelfu kama UBEPARI NI UNYAMA, HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA, n.k. printing presses za nchi za kijamaa zikalemewa na nakala zilizochapwa.

Operesheni nyingi zikaanzishwa, Operesheni Vijiji, Kilimo cha Kufa na Kupona, n.k zikahanikiza nchini na kwingineko kwenye dunia ya wajamaa. Aibu.
 
... tena tulihubiriwa kweli uzuri wa ujamaa vs ubepari. Wakaibuka wanazuoni pande zote za dunia kuhubiri uzuri wa ujamaa. Vitabu kwa maelfu kama UBEPARI NI UNYAMA, HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA, n.k. printing presses za nchi za kijamaa zikalemewa na nakala zilizochapwa.

Operesheni nyingi zikaanzishwa, Operesheni Vijiji, Kilimo cha Kufa na Kupona, n.k zikahanikiza nchini na kwingineko kwenye dunia ya wajamaa. Aibu.
Kipindi kile habari zilikuwa zinadhibitiwa Sana tulikuuwa tunamezesha na radio Tanzania,

Pia nyerere na moringe walikuwa wanapretend kuishi kimaskini, japo walikuwa mabepari ujamaa, ndio sababu yakuniamisha kuwa ujamaa Ni mzuri


Ila baada ya kuanza kuangalia ccn ,bbc na jinsi wajamaa viongozi wanavyotupelesha hapa Tanzania, nikaona UBEPARI wa magharibi upo fair kuliko ujamaa
 
China uwanga anachangia sehemu ambazo zinagusa moja kwa moja watawala, sio kutoa dawa za ukimwi au tundu za vyoo
Wajanja sana hawa, huenda hata wametega vinasa sauti vya kutosha humo mjengoni.
 
Jitihada kama hizi barani Afrika zingeweza kuwa na maana sana endapo zingelenga kujenga maisha bora kwa wananchi wote badala ya kuishia kujenga maisha ya watawala na vizazi vyao.
 
Back
Top Bottom