bernard10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 410
- 732
Jeshi la China limeripoti kama kitendo Cha uchokozi dhidi ya China, baada ya destroyer Raph Johnson (meli ya kivita) ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan (Taiwan strait).
Jeshi la China limelaani/kulaumu KITENDO hicho Cha Marekani Huku likiongeza kuwa, kitendo hicho Ni Cha hatari na kinatuma alama mbaya kwa (PRO Taiwan Independence forces) vikosi ambavyo vipo kwaniaba ya Uhuru wa Taiwan alisema msemaji wa jeshi la China.
Taiwan ni suala nyeti na muhimu kabisa katika mahusiano ya China na Marekani (Sino-US relationship) hii inakuja siku moja baada ya mazungumzo ya wakuu wa nchi hizo mbili kupitia video call.
Ripoti zinasema China pia ilipeleka meli zake za kivita eneo Hilo nyeti la Lango la Taiwan kufuatilia nyenendo za Meli hiyo.
Baadae Mara ya pili China ilipeleka meli yake mpya Shadong ambayo ni (aircraft carrier).
Suala hili la Taiwan liliongelewa na Raisi wa China XI na mwenzake wa Marekani Biden, akisisitiza suala la Taiwan linatakiwa liendeshwe kwa usahihi.
CHINA inaendelea kuihesabu Taiwan Kama eneo lake na siku Hadi siku imeendelea kuimarisha shughuli zake za kijeshi karibu na kisiwa hicho cha Taiwan.
Hali hii imeendelea kuwasha alamu Taipei katikati ya suala la UKRAINE na Urusi kwamba CHINA inaweza ikafuata nyayo za Urusi na kutumia ndugu zake za kijeshi.
=========
Such an act was "very dangerous", a Chinese military spokesperson said in a statement, adding that troops were organised to monitor the Ralph Johnson's passage.
China says Taiwan is the most sensitive and important issue in its relations with the United States. Washington has no formal diplomatic relations with Taipei, but is Taiwan's most important international backer and arms supplier.
Chinese President Xi Jinping told his U.S. counterpart Joe Biden on Friday that the Taiwan issue needs to be handled properly to avoid a negative impact on Sino-U.S. relations.
Reporting by Ryan Woo Editing by Mark Heinrich
Jeshi la China limelaani/kulaumu KITENDO hicho Cha Marekani Huku likiongeza kuwa, kitendo hicho Ni Cha hatari na kinatuma alama mbaya kwa (PRO Taiwan Independence forces) vikosi ambavyo vipo kwaniaba ya Uhuru wa Taiwan alisema msemaji wa jeshi la China.
Taiwan ni suala nyeti na muhimu kabisa katika mahusiano ya China na Marekani (Sino-US relationship) hii inakuja siku moja baada ya mazungumzo ya wakuu wa nchi hizo mbili kupitia video call.
Ripoti zinasema China pia ilipeleka meli zake za kivita eneo Hilo nyeti la Lango la Taiwan kufuatilia nyenendo za Meli hiyo.
Baadae Mara ya pili China ilipeleka meli yake mpya Shadong ambayo ni (aircraft carrier).
Suala hili la Taiwan liliongelewa na Raisi wa China XI na mwenzake wa Marekani Biden, akisisitiza suala la Taiwan linatakiwa liendeshwe kwa usahihi.
CHINA inaendelea kuihesabu Taiwan Kama eneo lake na siku Hadi siku imeendelea kuimarisha shughuli zake za kijeshi karibu na kisiwa hicho cha Taiwan.
Hali hii imeendelea kuwasha alamu Taipei katikati ya suala la UKRAINE na Urusi kwamba CHINA inaweza ikafuata nyayo za Urusi na kutumia ndugu zake za kijeshi.
=========
Chinese military says U.S. destroyer's passage through Taiwan Strait 'provocative'
BEIJING, March 19 (Reuters) - The U.S. destroyer Ralph Johnson's sail-through of the Taiwan Strait on March 17 was a "provocative" act by the United States and sent the wrong signals to pro-Taiwan independence forces, the Chinese military said on Saturday.Such an act was "very dangerous", a Chinese military spokesperson said in a statement, adding that troops were organised to monitor the Ralph Johnson's passage.