China yaita kitendo cha Meli ya Kivita ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan kuwa cha kichokozi

Huo ni upuuzi
 
Hivi mbona sijasikia China ama Russia au Iran kuchukua maeneo karibu na marekani labda Central america, Mexico, Jamaica Caribbean n.k ? Kwaninj yeye marekani ndio wakuchukua na kujifanya mlinzi wa maeneo ambayo hayamhusu? Mimi naichukia sana marekani yani ikiwezekana putin aisambaratishe tuu kuwepo na adabu.
 
That is what it takes to be or considered as superpower.
Wanatumua divide and rule kudhohofisha wapinzani wao wa Sasa au in future, Taiwan was China back in days (currently refer Hongkong crisis) kipindi Cha China revolution in 1940s particularly official year 1949
Mao zhe dong & San yat-sen walivyofanikisha kuutoa utawala uliokuwepo(kuomingtang government) Kama vibaraka wa British, US, chini ya Chiang kai-Shek etc utawala huo ulikimbilia kisiwani Taiwan na kujitangazia Uhuru Kama nchi Huku Raisi wa Marekani enzi hizo bwana Truman akawa wakwanza kuitambua Kama nchi huru nakuiingiza UN kabla hata ya China yenyewe pia kuipatia support mbka leo.

Marekani walifanya hivyo ili kupata Taifa(unaweza ita satellite state) kuwasaidia operation zao huko far East Kama ilivyo Japan or south Korea, zaidi wakiilenga China.(the possible rival and communist) kumbuka enzi hizo Vita kuu ilikuwa communism against capitalism.
Tokea kipindi hicho Chinese hawajawai kuikatia tamaa Taiwan Bado wanaihesabu Kama ardhi/eneo lao for them hii ndyo sensitive issue above them all day and night.
The same was done (divide and rule policy) to Korea, na nchi nyingine nyingi
 
mnajua kutunga story za uongo yaan wataiwan wawe wapumbav kias hicho kuchagua kujitenga ili marekani awaendeshe , sijui unahisi waha wenzio wale
 
The world need balance of power bila hivyo hapatakalika hapa duniani.
na balance of power ni ngumu lzm mmoja atahitaj kuwa juu ya wengine na world wars ndo itanukia bila kusahau new technology inaweza ifanya dunia kuwa majivu , faida ya kuwa na super power mmoja ni kuwa na utulivu hata kama kuna mmoja atakuwa anaonewa, World War 1 na Ww2 zote zilitokana na hiyo balance of power iliyofanywa miaka 1800s mwishoni hadi 1900s mwanzoni , hatimaye mataifa yakawa yanajihis kila mmoja anamuweza mwingine na kilichofuatia kila mtu amekisoma
 
wanachofanay wanataka china aanze kuiita taiwan ili wajue uwezo wa silaha zake upoje, kama walivyofanay kwa kuitumia ukraine na sasa wanapima uwezo wa silaha za Urusi. Ukraine na Taiwan zinatumiwa na marekani kama toilet paper tu.
kwann China aumie kwa nchi iliyo huru , Taiwan ina haki zote za kujitawala so bahari yake anaweza kutumia yyte
 
kwann China aumie kwa nchi iliyo huru , Taiwan ina haki zote za kujitawala so bahari yake anaweza kutumia yyte
Go and read history utajua mambo meng zaidi ubongo wko Bado mweupeee peeh
 
japan hakuweza kushambulia USA tofauti na MIAMI
 
tumia akili yako vzr , unavamia majirani zako kwann wasitafute ushirika wa kujilinda , hv 2014 ulikuwa umezaliwa? pia 2008 ulihadithiwa ya huko Georgia ,the same kwa China kila siku anapora visiwa vya majirani zake kiubabe
 
wanahesabu kama eneo lao kivip wakat wakaz wa Taiwani wanataka wawe pekee yao ? hv unahisi umoja unaletwa kwa nguvu ?
 
Huo mpango ni lini? Unamuona China mjinga anavyopiga yowe bila vitendo,Taiwan ni kaburi la ustawi wa China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…