China yaita kitendo cha Meli ya Kivita ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan kuwa cha kichokozi

Urusi anatumia zana za 1974 bado hajaanza za 80's
Mahaba makubwa Sana kijana. Eti Urusi anatumia Siraha za 1974 bado za 80's? Mbona mnakuwa wajinga hivyo? Urusi kashatumia mpaka HYPERSONIC MISSILES kule Ukraine wewe bado upo Usingizini TU?

Tupe ushahidi unaoonesha kwamba Urusi iligundua HYPERSONIC MISSILES mwaka 1974.
 
siwez ishi kwa story za kupikwa wakat reasoning tu inatosha , wataiwan wanataka kuwa huru , ss kwann uwalazimishe kuwameza ? ukiish kwa story utakuwa huna tofaut na imbecils
Harafu Cha kushangaza,Masikini (China) analazimisha amtawale tajiri (Taiwan)

GDP per Capita ya Raia wa Taiwan ni kubwa Sana kuliko ya Raia wa China Mainland. Kiufupi,Raia wa Taiwan anakipato kikubwa kuliko Raia wa China. Sasa Nani anataka kujiunga na Masikini?
 
Ndio maana Russia kaona upuuzi huu dawa ni kupambana nao tu mabeberu.
 
tumia akili yako vzr , unavamia majirani zako kwann wasitafute ushirika wa kujilinda , hv 2014 ulikuwa umezaliwa? pia 2008 ulihadithiwa ya huko Georgia ,the same kwa China kila siku anapora visiwa vya majirani zake kiubabe
Nadhani wewe ndio utakua mtoto wa juzi .soma historia vizuri kuhusu balkan state na ussr utajua hujui.
 
Unachukia lakini kwa sababu akili huna , unabaki na chuki zako huku wenzako unaowajali wanazidi kupelekewa [emoji91]
Wewe mwenye akili unaeipenda marekani je hao wamarekani wanakupelekea nini huko nyuma kwako?
 
Hawa jamaa wakimaliza wanarudi africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…