mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Oct 21, 2020 #1 Kwakile kinachoonekana ni maagizo ya China kwa USA toka wizara ya mambo ya nje ya China Wizara hiyo imesema kuwa. "Tunataka marekani iache kuwasumbua wanafunzi wanaosoma marekani wakitoka China kwa kisingizio cha mahakama" Source CRI kiswahili
Kwakile kinachoonekana ni maagizo ya China kwa USA toka wizara ya mambo ya nje ya China Wizara hiyo imesema kuwa. "Tunataka marekani iache kuwasumbua wanafunzi wanaosoma marekani wakitoka China kwa kisingizio cha mahakama" Source CRI kiswahili
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,109 Reaction score 8,080 Oct 21, 2020 #2 Tutaelewana tu.