Ni vizuri kujipa imani!Tunaingia mkataba upya usio na wizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vizuri kujipa imani!Tunaingia mkataba upya usio na wizi
Tumia akili doogo kufikiri! Mwanza manake tuna connection rahisi kupitia maji na barabara za uhakika na nchi ya Kenya ambao ni matajiri East Africa yoote! tena matajiri kuliko DRC wasio tabirika ajili ya vita,Kwanini wameamua kupeleka reli Mwanza na si Kigoma ilihali tunaona wakongo wengi wakija kufunga mizigo Kkoo kuliko Waganda..huu ni upuuzi mkubwa unafanyika unakamilishaje tawi wakati reli kuu ya kati mwisho ni Kigoma?
Huyu ndo mpotoshaji bora angenyamaza!mmh sio kwamba wewe ndio mpotoshaji
utiaji saini mkataba wa ujenzi wa awamu ya tano ya reli ya kisasa (SGR) inayotoka Mwanza hadi Isaka yenye urefu wa kilometa 341.
Kwa sasa ujenzi wa reli hiyo kutoka Dares Salaam hadi Mwanza unatekelezwa na kampuni ya Yapi Merkezi.
scientific research bobezi imefanyika na kuonyesha italipa but KIGOMA NI ENEO HASWA MUHIMU ZAIDI [DRC BURUNDI RWANDA] Suala ni kuongezea tu meli ya kisasa ya uhakika mle ziwani.