Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa US kawaida tu kuna level alishapita huyo na ni gharama kutengeneza vitu US hivyo alishaachia vitu vingine navyo watengeneze wengine mfano ndo hao wachina.
Marekani ilrudishe viwanda vyake marekani itoe ajira kwa watu wake, na China wajenge viwanda vyao na kama hawana technologia wainunue wapige kivyao vyao.
Kama kawaida unaandika ngano paukwa pakawa ukidhani umeandika kitu konkiWalimu wako walikuwa na wakati mgumu sana kukuelewesha
Nikupe mfano mwingine, China ina brands nyingi sana za magari yanayotengenezea China, lakini bado ndiyo soko kubwa la magari duniani
Kampuni za kutengeneza magari za Ulaya na Marekani wanauza magari yao China, Mchina hajazuia
Na ndivyo ilivypo na hivyo vitu ulivyotaja China ina viwanda inavitengneza ila aliruhusu tu kuwe na free trade kuimport kutoka Marekani ili Mchina aamue anunue vya China au kutoka Marekani sasa ndio vimepitiwa na rungu la tariffs
Ni sawa na leo Mtanzania uamue kununua Colgate ya kutoka Kenya au ununue Whitedent inayotengenezwa Tanzania
Trump anataka watu wakae chini wajadili kupitia masharti yake ndio nia ili awe na power ya kujadiliWanaukumbi.
Hong Kong
CNN
—
Beijing announced a broad package of economic measures targeting the United States on Tuesday, hitting back after US President Donald Trump imposed 10% tariffs on Chinese imports.
The fresh duties, announced by China’s Ministry of Finance, levy a 15% tax on certain types of coal and liquefied natural gas and a 10% tariff on crude oil, agricultural machinery, large-displacement cars and pickup trucks. The measures take effect on February 10.
The Ministry of Commerce and China’s customs administration also announced new export controls effective immediately on more than two dozen metal products and related technologies. Those include tungsten, a critical mineral typically used in industrial and defense applications, as well as tellurium, which can be used to make solar cells. China is the leading producer of tungsten concentrates, representing more than 80% of world production, according to US government estimates.
=======================
Beijing ilitangaza mpango mpana wa hatua za kiuchumi zinazolenga Marekani mnamo Jumanne, ikirudisha nyuma baada ya Rais wa Merikani Donald Trump kuweka ushuru wa 10% kwa bidhaa za China.
Ushuru mpya, uliotangazwa na Wizara ya Fedha ya Uchina, unatoza ushuru wa 15% kwa aina fulani za makaa ya mawe na gesi asilia iliyoyeyushwa na ushuru wa 10% kwa mafuta yasiyosafishwa, mashine za kilimo, magari makubwa yanayohamishwa na lori. Hatua hizo zitaanza kutumika Februari 10.
Soma:
- Trump: Nchi za BRICS zenye mpango wa kuikwepa Dola ya Marekani zitakumbana na ushuru wa asilimia 100, Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine
Wizara ya Biashara na utawala wa forodha wa China pia ulitangaza udhibiti mpya wa mauzo ya nje unaofanya kazi mara moja kwenye bidhaa zaidi ya dazeni mbili za chuma na teknolojia zinazohusiana. Hizo ni pamoja na tungsten, madini muhimu ambayo kawaida hutumika katika matumizi ya viwandani na ulinzi, pamoja na tellurium, ambayo inaweza kutumika kutengeneza seli za jua. China ndiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa madini ya Tungsten, inayowakilisha zaidi ya 80% ya uzalishaji duniani, kulingana na makadirio ya serikali ya Marekani.
Source: CNN China hits back at US with import tariffs including on crude oil, as Trump’s measures go into effect | CNN Business
China kuna cheap labour hiyo ni fact 100% ni ujuha kujitoa fahamu kwa hali ya juu kwa mtu kujifanya halioni hilo.China wanatumika mpaka wafungwa viwandani.Uelewa wako ni mdogo sana kwenye hizi mambo pole sana
Hakuna kitu ambacho China hatengenezi na kuna vitu ambavyo China inatengeneza hata Marekani haitengenezi
Kilichofanya kampuni za nchi za Magharibi kwenda kuinvest China mojawapo ni kuwa China ina the best manufacturing ecosystem (supply chain) hapa duniani hakuna taifa linaloifikia China
Pia skilled personnel, R&D centers n.k inayofanya ipunguze gharama ya kutengeneza bidhaa, na ndio maana makampuni mengi duniani yanapenda kuwekeza China inapohusu manufacturing
Nikupe mfano mmoja gharama anayotumia Elon Musk kutengeneza gari moja la Tesla nchini China ni ndogo ukilinganisha na anayotumia kutrngeneza gari moja pale Marekani au Ujerumani kwa sababu ya manufacturing ecosystem iliyopo China
Kwa hiyo usitegemee eti kujiondoa China ni rahisi. Hata CEOs wa kampuni kubwa zilizowekeza China wanajua hilo:
"No supply chain in the world is more critical to us than China.
We're not in China for low labor costs....In the United States if we have a meeting of tooling engineers and we might not fill a room. In China, we would fill multiple football fields."
–Tim Cook (Apple CEO)
Kama kawaida unaandika ngano paukwa pakawa ukidhani umeandika kitu konki
Uzuri unajulikana na kamba zako za china yawa ya kwanza huna jipya wala facts zozote.Haya maneno huja mtu akikosa fact au jinsi ya kudefend hoja yake
China kuna cheap labour hiyo ni fact 100% ni ujuha kujitoa fahamu kwa hali ya juu kwa mtu kujifanya halioni hilo.China wanatumika mpaka wafungwa viwandani.
Uzuri unajulikana na kamba zako za china yawa ya kwanza huna jipya wala facts zozote.
Kawa walivyo wachina watu wa fekifeki nawe ni wa hivyohivyo.
leta hoja yako dhidi ya yale aliyoandika jamaaa. Umekula za uso then unaandika pumba tu hapo. Leta hoja babaaaaKama kawaida unaandika ngano paukwa pakawa ukidhani umeandika kitu konki
wewe fala hivyo vitu sio fake bali ni quality ya bongo, kama china made products ni fake kwanini gari za tesla 700,000 huzalishwa china kwa mwaka, microsoft, nike na apple bidhaa zao zisitengenezwe USA ambako ndio nyumbani kwao?. rejelea kauli ya Tim Cook kuhusu uwezo mkubwa walionao wachinaUzuri unajulikana na kamba zako za china yawa ya kwanza huna jipya wala facts zozote.
Kawa walivyo wachina watu wa fekifeki nawe ni wa hivyohivyo.
Umesema vyemawewe fala hivyo vitu sio fake bali ni quality ya bongo, kama china made products ni fake kwanini gari za tesla 700,000 huzalishwa china kwa mwaka, microsoft, nike na apple bidhaa zao zisitengenezwe USA ambako ndio nyumbani kwao?. rejelea kauli ya Tim Cook kuhusu uwezo mkubwa walionao wachina
kaka vilaza wengi wamekariri uongo kutoka kwenye movie za Rambo na arnold wakijuwa kwamba US ni superior. China haikwepekiUmesema vyema
kaka vilaza wengi wamekariri uongo kutoka kwenye movie za Rambo na arnold wakijuwa kwamba US ni superior. China haikwepeki