China yaongeza ushuru kwa bidhaa za Marekani kutoka 84% kufikia 125%

Hii asione ,Nyani Ngabu.
 
Tungekuwa na akili hivyo vita vingekuwa ni fursa kwetu lakini kwa bahati mbaya akili tuliyonayo ni ya kuwashangilia tu huku jioni tukinywa uji kwa makande na kwenda kulala. Afrika bure kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787] Damen!.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
china will not just kiss trump's ass,they will just smash the oldman shi@thole
 
Tungekuwa na akili hivyo vita vingekuwa ni fursa kwetu lakini kwa bahati mbaya akili tuliyonayo ni ya kuwashangilia tu huku jioni tukinywa uji kwa makande na kwenda kulala. Afrika bure kabisa.
Xi tayari kaisaidia Tanzania imepewa 0 tariffs
 
Xi tayari kaisaidia Tanzania imepewa 0 tariffs
Wachina hawanaga msaada kwa nchi maskini. Hayo mawazo alishawahi kuwa nayo hayati Julius, akawapiga chini marekani akawageukia wachina. Kilichompata ni kuwatesa raia wake na mwisho hayati Ally alivyo kwaa madaraka akawarudia wamarekani ndo nafuu unayoiona mpaka leo.
 
Mwalimu alifelishwa na mabeberu.

China ilimsaidia sana ilimjengea TAZARA, URAFIKI textile, ikawapa Watanzania nafasi ya kwenda kusoma China n.k

Mwalimu alitakiwa akaze kipindi taasisi za mabeberu IMF na WB zilipozishinikiza third world countries kutia ndani Tanzania kuadopt priniciples za SAPs

Yeye akaamua kumwachia nchi Mwinyi awe raisi na matokeo ya SAPs tunayaona mpaka leo;

Kuanzia hapo ikawa ni mwendo wa madeni na kubinafsisha mashirika ya umma

Ila sio mbaya kwa sasa China inatoa misaada mikubwa ya kifedha kwa Africa kuliko hata IMF na WB

Na kupitia BRI China inatoa misaada ya kujenga miundombinu kwa Africa kuliko taifa lolote duniani

China imewajengea viwanda kama vyote hapo mkoa wa Pwani mshindwe nyinyi tu kupiga kazi. Marekani amewajengea kiwanda gani hapo Tz?

Na bado China inawapa 0 tariffs muuze bidhaa zenu nchini China huku Marekani ikiwapa condom mtombane mkiungwa grid ya taifa anawapa ARV za bure
​
 
Dah? Imebidi nicheke tu, ila mda utasema.
 
Aisee we mwamba ni Pro China.
 
Muda gani? Wakati muda ndio huu
Hata mie najua marekani, anachojali ni maslahi yake tu, ndio maana China nae anatetea maslahi yake. Hivyo tuendelee kucheki hii movie mpaka itakapofika mwisho na kumjua mbabe ni nani? Maana ni bado ni mapema sana kutoa hukumu.
 
Hizi nchi kubwa zikianza vita tutakopa wapi jamani mbona mtihani huu mweeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…